The Guitarist
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,546
- 5,219
acha wenge jombaa nimemjibu jamaa kutokana alivyoandika sasa kama unakurupuka kuninukuu bila kujua nilianzia wapi kumjibu lazima ujivuruge kama hapo juu...We si ndio umesema wanajenga wazawa wa Arusha, EAC imetokea wapi tena...?!
Hivi ile Barabara ya Sakina-Tengeru ni wazawa wapi wanaojenga...?!
na yale maghorofa ya NSSF na PPF ni wazawa gani wa Arusha walioyajenga...?!
na AICC ni mzawa gani aliyejenga...?!
vile vyuo ni mzawa gani alivijenga...?!
btw ni juhudi za wazawa kuuendelaza mji ndio umepelekea serikali kuweka hayo majengo ya hayo mashirika labda nikuulize kwanini wasingeweka singida au geita? au hiyo barabara ya arusha to mshi/taveta holili isingeanzia moshi tu,?