samyz
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 589
- 311
Ni wa musoma mkuuWale Samaki wanaouzwa soko kuu la Arusha wametokea Ziwa Duluti unataka kutuambia ama...?
Ni wa musoma mkuuWale Samaki wanaouzwa soko kuu la Arusha wametokea Ziwa Duluti unataka kutuambia ama...?
Sehemu imejengwa inaonekana vzur sio unajenga nyumba na mimawe inaeka show mbayaNjiroo
![]()
![]()
Kwa hiyo Ziwa Victoria la Mwanza na Musoma yanatofautiana...?!Ni wa musoma mkuu
Kwahyo kama wametoka musoma unataka niseme ni mwnza unaforce mambo asee..au ziwa ni mali ya mwanza tuKwa hiyo Ziwa Victoria la Mwanza na Musoma yanatofautiana...?!
Unataka kutuambia kuna ka mpaka samaki wa Bukoba, Mara na Mwanza hawaingiliani wala hawaruhusu kusafiri sehemu nyingine...?!
kwa hiyo ziwa Victoria la Mwanza limeishiwa Samaki...?! Wamebaki ziwa victoria la Musoma...?!
Picha za mji tayari zishawekwa nyingi tu... tuwekeeni mitaa ya Mwanzaa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀View attachment 347788 Rocky city
Msome yule mwenzako aliyedai samaki wameisha ziwa Victoria, halafu kumbe huwa wana nembo kwamba hawa samaki ni wa Musoma...Kwahyo kama wametoka musoma unataka niseme ni mwnza unaforce mambo asee..au ziwa ni mali ya mwanza tu
We unataka kusema izi samaki zote ni za mwanza zipo za musoma manMsome yule mwenzako aliyedai samaki wameisha ziwa Victoria, halafu kumbe huwa wana nembo kwamba hawa samaki ni wa Musoma...
Wewe huwa unauza samaki...?!
Huwa zina nembo...?! Kwa kukusaidia ulitakiwa ujibu zimetoka ziwa Victoria... na sio ziwa DulutiWe unataka kusema izi samaki zote ni za mwanza zipo za musoma man
Unarudia picha mkuu kama hii imewekwa zaidi ya mara 3.View attachment 347789 Rock city
mkuu mwanza hakuna wala samaki ndio maana zinaletwa Arusha na Dar.. Wao kule wanakula mapanki..We unataka kusema izi samaki zote ni za mwanza zipo za musoma man
hahahahahahaaaa ndio matajiri wanakaa huko?? Wanaishi na maweView attachment 347790 Part of capri point
Oky zimetoka ziwa victoria upande wa musoma nmeconclude mkuuHuwa zina nembo...?! Kwa kukusaidia ulitakiwa ujibu zimetoka ziwa Victoria... na sio ziwa Duluti