Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Unataka kutufanya mambumbu kwamba hatuifahamu Arusha, au ukuaji unaousemea umeangalia category zipi?
 
Sina ugomvi na mtu ila wana Mwanza huwa wanajiona wao ndio wao kumbe hawana lolote... Mkuu hii Mall inayojengwa Arusha ni ya mtu na mkazi binafsi wa hapa, Mall iliyojengwa Mwanza ni ya NSSF... Mwanza inajengwa na mashirika ya kiserikali wakati Arusha inajengwa na wazawa.. Sasa utafananishaje mzunguko wa pesa kwenye miji yenye hali za hivyo??

Labda nikupe mfano mwingine mdogo tu, Dodoma unaiona ilivyojengeka?? Ni serikali inajenga pale ila ukiangalia kwa undani maisha ya watu wa Mtwara ni mazuri kuliko Dodoma, kodi inayokusanywa Mtwara ni kubwa kuliko Dodoma... Kodi ndiyo determinant kubwa ya mzunguko wa pesa kwenye eneo husika.. Haya majengo yote ya Mwanza mzunguko wa rent kwenye hayo majengo yanaenda HQ kwenye mashirika huko Dar wakati Arusha majengo mengi tu yanamilikiwa na wazawa kwahiyo ule mzunguko wa pesa unabaki hapa hapa, kampuni za kitalii ni za wazawa kwahiyo mzunguko wa pesa una baki hapa hapa, Mashimo Mererani wazawa wanamiliki na biashara ya Tanzanite inafanywa kwa kiasi kikubwa na wazawa pia kwahiyo mzunguko wa pesa unakuwa uko hapa hapa.. Hizi hotels za Arusha, Maghorofa hapa Arusha yanamilikiwa kwa kiasi kikubwa na watu wa madini pamoja na wenye kampuni za utalii..

Nitajie mmiliki wa Malaika Beach....
Ingekua pesa ni mawe jiji tajir ingekuwa ni mwanza hahaha
 
Can u vivid prove to us, how far is ruvuma ahead of mwanza, au unaropoka tu.

According to National Bureau of Statictics
gdp33.png

Research done by UN and GoT
hdi2.png

Sasa nakuachia kazi ya kupingana na data...
 
Unaleta website za watu na magazeti ya nini wakati all sources zipo kwenye website za serikali..

Nilivyoona ubishani kwa data za kiuchumi ndio nikajua kumbe hujui lolote.. Jedwali la NBS ambalo wewe unaling'ang'ania hizo data haziko kwenye current price... Hivi Dar ingekuwa na GDP ya Million 13 aisee si ingekuwa ni maajabu.. Yaani kama Dar ingekuwa na hiyo GDP per Capita ya Million 13 ina maana Whole Dar City GDP yake ni Tshs. Trillion 65... Hivi wewe hayo huoni ni maajabu??

hivi wewe huwezi kuwa na viakili hata kidogo eti! watu wanazungumzia jiji la mwanza dhidi ya jiji la arusha wewe umekomaa kuzungumzia mkoa wa mwanza dhidi ya mkoa wa arusha! una akili kweli wewe!
 
Ingekua pesa ni mawe jiji tajir ingekuwa ni mwanza hahaha
teh teh teh teh wanaishia kuweka vipicha ila verified data from known institutions hawataki kusikia... Mwanza vumbi tu hakuna pesa pale.. Kelele nyingi ila wamiliki uchumi pale ni wahindi (wengi wao wako Dar), wamara na wachaga..
 
Juzi nimefika Mwanza kwa mara ya kwanza aisee nilishangaa.....kajiji ka kawaida sana hata sijui kwa nini watu wanakalinganisha na Arusha!
 
hivi wewe huwezi kuwa na viakili hata kidogo eti! watu wanazungumzia jiji la mwanza dhidi ya jiji la arusha wewe umekomaa kuzungumzia mkoa wa mwanza dhidi ya mkoa wa arusha! una akili kweli wewe!
Hapa tunazungumzia Mwanza na Arusha... Researchers hawakusanyi data kama wewe utakavyo au unavyotaka iwe... Ila kama unataka hicho unachosema wewe, basi na wewe leta hapa verified data kutoka any verified organization ambayo inaonyesha Jiji la Mwanza lina maisha bora kuliko Jiji la Arusha.. Hatutaki utuwekee picha na maneno ya vijiweni..
 
Ndiyo maana nilikuwa simwelewi kumbe anaongelea mkoa kwa mkoa na siyo jiji kwa jiji
 
Juzi nimefika Mwanza kwa mara ya kwanza aisee nilishangaa.....kajiji ka kawaida sana hata sijui kwa nini watu wanakalinganisha na Arusha!
Hahaha wacha uchokozi wewe
 
baada ya sherehe za uhuru kuahirishwa pesa zilipelekwa kupanua barabara za jiji kuu la dar na baada ya sherehe za muungano kuahirishwa pia serikali iliamua kupeleka fedha hizo kupanua barabara ya jiji kuu la pili MWANZA. pesa kama hizi hazipelekwagwi kwenye vimiji vidogovidogo
 
Kwa data mmeshindwa kuweka nw mnaeka maghorofa haha
 
baada ya sherehe za uhuru kuahirishwa pesa zilipelekwa kupanua barabara za jiji kuu la dar na baada ya sherehe za muungano kuahirishwa pia serikali iliamua kupeleka fedha hizo kupanua barabara ya jiji kuu la pili MWANZA. pesa kama hizi hazipelekwagwi kwenye vimiji vidogovidogo
Kabla hata hizo pesa hazijaletwa huko upanuzi wa barabara kutoka tengeru mpaka sakina ulishaanza kitambo na inategemea kukamilika mwisho wa mwaka huu baada ya hapo kuna arusha bypass itaanza kujengwa sasa km wewe unategemea hadi sherehe zizuiliwe ndo barabara zijengwe sawa.
 
Back
Top Bottom