Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Ndiyo maana nilikuwa simwelewi kumbe anaongelea mkoa kwa mkoa na siyo jiji kwa jiji
Wewe umebadilisha ID sasa umekuja na mpya ile ya jana umeikimbia baada ya kuzidiwa hoja... Sasa kama mnataka jiji kwa jiji tuwekeeni data sio mnaweka picha na kelele tupu... Weka data hapa zinazosema jiji la Mwanza limezidi Arusha na utaje hizo nyanja specific ambazo limeizidi Arusha kama vile Kodi, GDP per capita na makazi bora... Tunataka mtuwekee data maana researchers wanasema no data, no research na right to speak..
 
Rock city Mwanza
a667bb70a1d6485f6cc2afd847245693.jpg
cd3d155a48ba41ad171c5386401004fd.jpg
 
kodi ni proportinal na GDP, kodi ya sehemu husika ikiwa juu maana yake hata pato la pale lipo juu, maana kodi inatokana na mapato
dea7078cb200ed5a2734a2a7e63289e4.jpg

Hizo hapo data katika hilo jedwali kuna jamaa mmoja ambaye nimeamua kuacha kubishana nae sababu ni mchovu hajui anachobisha...

Hizo data hapo juu kwa hoja yake ni kwamba zimepangwa kulingana na maendeleo ya mji, ambapo zipo katika NBS, sasa labda kama unaweza ukamjibia maana yeye hawezi...

Katika hizo data naona Arusha imepitwa na Dar es salaam, Kilimanjaro, Ruvuma na Tanga...

Je kwa maendeleo kwa kutumia huo huo mfano wake je anaweza akatuambia hiyo mikoa mitatu inaizidi Arusha kwa maendeleo na kwa ukubwa wa mji...?!

ninauliza hivyo kutokana na "argument" zake za kichovu...
 
Wewe akili huna na wala unachobishania hukijui... Nilikwambia jana kama unataka darasa la uchumi kuwa huru..

Maisha ya mmoja mmoja data zinaonyesha Arusha imezidiwa na Kilimanjaro, Iringa, Dar na Ruvuma pekee hiyo Tanga umeiweka wewe... Wewe Kilimanjaro unaijua, Kilimanjaro mpaka huko vijijini kuna nyumba bora na wakazi wana maisha mazuri.. Iringa na Ruvuma kilimo kinawasaidia kwa wakazi wake pia kuwa na maisha bora. Ila ukija kwenye ukusanyaji wa kodi, Arusha imeizidi hiyo mikoa yote iliyotajwa kwa mbali sana...

Sasa Mwanza mmezidiwa kila kitu na Arusha... GDP per capita mmezidiwa lakini bado ukusanyaji wa mapato pia mmezidiwa tena mara mbili.. Sasa wewe unachobishana hapa ni kipi... Yaani kama ni mpira wewe umepigwa home and away wakati kwa Kilimanjaro, Iringa kila mtu ameshinda nyumbani kwake..
 
kama uchumi wa arusha umeshikwa Na wazawa mbona huwa ikitokea tatizo la watalii kupungua watu wanaanza kulialia Maisha yanakuwa magumu?
 
SASA NDUGU ZANGU WA MWANZA KWAKUWA KWA DATA MMESHINDWA NA SASA MNATAKA PICHA BASI BILA HIYANA TUTAENDA KWENYE PICHA AMBAKO SASA NDIO HOPE YENU PEKEE ILIYOBAKI...
Haha picha za majengo
 
Wewe akili huna na wala unachobishania hukijui... Nilikwambia jana kama unataka darasa la uchumi kuwa huru..

Maisha ya mmoja mmoja data zinaonyesha Arusha imezidiwa na Kilimanjaro, Iringa, Dar na Ruvuma pekee hiyo Tanga umeiweka wewe... Wewe Kilimanjaro unaijua, Kilimanjaro mpaka huko vijijini kuna nyumba bora na wakazi wana maisha mazuri.. Iringa na Ruvuma kilimo kinawasaidia kwa wakazi wake pia kuwa na maisha bora. Ila ukija kwenye ukusanyaji wa kodi, Arusha imeizidi hiyo mikoa yote iliyotajwa kwa mbali sana...

Sasa Mwanza mmezidiwa kila kitu na Arusha... GDP per capita mmezidiwa lakini bado ukusanyaji wa mapato pia mmezidiwa tena mara mbili.. Sasa wewe unachobishana hapa ni kipi... Yaani kama ni mpira wewe umepigwa home and away wakati kwa Kilimanjaro, Iringa kila mtu ameshinda nyumbani kwake..
Wewe ndio hauna akili, si umetuambia ya kwamba Mwanza imepitwa hadi na Ruvuma ukatumia hizo dat hapo juu...

Ndio maana nakuuliza kwa hiyo na Ruvuma imeipita na Arusha...?! Sababu hizo data unazozitumia zinaonyesha hivyo...

Nilikupa jedwali la kuonyesha kila mkoa unachangia kiasi gani katika pato la Taifa lakini umekataa unaleta siasa katika Takwimu, lile jedwali la ukurasa wa 45 hata ulielezei umekalia mara oooh mashimo migodi... wananchi maskini...
 
Tungekuwa tunashindana maendeleo kwa familia zetu ambako tunatoa mchango 100% ingekuwa poa zaidi na ingesaidia kuboresha maisha yetu kakini saivi jemba imekomaa hadi misuli usoni inasimama eti Arusha ni kubwa zaidi ya Mwanza, mara jiji la Mbeya kama kijiji wakati yeye analala kwenye mbavu za mbwa.
Pia hujui kuwa hata mimi wa Matalawe nina haki ya kujivuania Arusha, Mwanza, Dodoma n.k. maana ni sehem ya nchi yangu?
kwani kuna shida au ni wasi wasi wako?
 
Back
Top Bottom