FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,336
- 13,656
Endeleeni kuchimba cement tu bro!! Waleteeni wanaume wajenge wavivu nyie!!
Cement 12000 kwa mfuko ila mji bado sana! Mnataka nn sasa, wakati wanaume mwanza tunanunua 19 per mfuko na bado ngoma inatembea tu kama kawa!!
Mimi niko Arusha na nina Investment zangu Mtwara.. Suala la Mtwara kuipiku Mwanza hata na Arusha liko palepale kama malengo na mipango waliyojiwekea wakiitekeleza.. Kile kiwanda cha kuassemble magari ya mjapan kitajengwa huko na bado kuna utitiri wa wawekezaji wanaelekea huko kila siku.. Kama sasahivi kodi inayokusanywa Mtwara ni nusu ya kodi ya Mwanza wakati hata hizi projects hazijaanza kuingiza pesa unafikiri zikianza si watakuwa wanakimbizana na Arusha kwa ukusanyaji?? Kama GDP per capita ya Mtwara ni 1.5 na Mwanza ni 1.7 wakati Mtwara bado hawajaanza kunufaika na gesi yao unafikiri wakianza mtawakamatia wapi??