Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

We mimi nikiwa dar mwezi mmja tu nataka kurudi rock town city je nikiwa arusha ni wiki 1 tu narudi huko city kwetu achana na mwanza baba zamani iliitwa nyanza komaa bro sasa ni mza aka ROCKCITY
Kasi ya ukuajiwake vipi mbona ipo chini kwa sasa?
 
ni ukosefu wa adabu kulinganisha jiji la mwanza na arusha, linganisha manispaa ya ilemela na arusha hapo ndo itamake sense
Hahaha naona hata wewe umekosa adabu
 
Mwanza
3488d6b775fb30b47063663dfaae276d.jpg
fe0e99e14a0d1b266ce5c87d7ce91f68.jpg
 
Tukuwekea mapicha ya magorofa ndio nini sasa? ?? Wekeni takwimu za kimaendeleo
 
Mwanza ongezeni juhudi ya kiuchumi na mpunguze kuzaa maana kuna consume capital for investment,la sivyo mtaanza kuburuzwa na dodoma na mtwara soon,mmeshindwa kujustify uhalali wa kua jiji la pili badala ya kuleta vivid examples mnaleta picha za kwenye office shelves..
We kama utaki kuzaa acha wazae wenzio ili waongeze nguvu kazi ya taifa usilete uchina hapa
 
Lala ukue....kwanza arusha haupafahamu umesoma comment za watu humu na wewe ukaamua uandike huu upuuzi.
We n kichaa kweli, kuanzia darasa la kwanza hadi form 6 nipo Arusha, sasa nipo mwanza takribanii mwaka na nusu hivi, kwaiyo mm najua zaidi yako
 
We n kichaa kweli, kuanzia darasa la kwanza hadi form 6 nipo Arusha, sasa nipo mwanza takribanii mwaka na nusu hivi, kwaiyo mm najua zaidi yako
Elimu uliyoipata imekusaidia nini km hata kutoa comment za msingi tu unashindwa unaongea upuuzi,,.
 
Mwanza ongezeni juhudi ya kiuchumi na mpunguze kuzaa maana kuna consume capital for investment,la sivyo mtaanza kuburuzwa na dodoma na mtwara soon,mmeshindwa kujustify uhalali wa kua jiji la pili badala ya kuleta vivid examples mnaleta picha za kwenye office shelves..

Hahahahahaha jamaa wanachekesha kweli aisee... I see Mtwara ikiipita Mwanza very soon.. Hata miaka mitano haitafika Mwanza itakuwa ishaachwa
 
Hahahahahaha jamaa wanachekesha kweli aisee... I see Mtwara ikiipita Mwanza very soon.. Hata miaka mitano haitafika Mwanza itakuwa ishaachwa
Endeleeni kuchimba cement tu bro!! Waleteeni wanaume wajenge wavivu nyie!!

Cement 12000 kwa mfuko ila mji bado sana! Mnataka nn sasa, wakati wanaume mwanza tunanunua 19 per mfuko na bado ngoma inatembea tu kama kawa!!
 
Uanze kutumia akili na ww kumbuka hizi ni takwimu za mkoa mzima wa arusha ambako kumejaa mbuga za wanyama na vivutio vya utalii, weka hapa takwimu za Arusha City vs Mwanza City tujadiliane

Takwimu hazikusanywi unavyotaka wewe acha ujinga... Sasa hizo mbuga si ndizo inazipa pesa Arusha?? Au hujui kampuni zote kubwa za utalii ziko Arusha mjini na zinalipa kodi hapo?

Kama mnaonea wivu mbuga za Arusha na nyie kausheni hilo ziwa basi...
 
Acheni kujifariji nyie.....mwanza jiji kongwe lile msijifananishe nalo, hata kuchangia pato la taifa chiga haiwezi kutoa percent kama zinazotoka mwanza...pili hata kimiundombinu Arusha bado wachanga sana kwa mwanza, labda mtoa post ungesema hicho ambacho unahisi hakipo mwanza siku hizi ni nini...?
 
Back
Top Bottom