Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Kuna kitu mnachanganya kuhusu uchangiaji wa pato la taifa Na Kodi zile za tra.
uchangiaji pato la taifa Ni uhalisia wa kile ambacho mkoa unazalisha ns kuchangia kwenye
pato la taifa bila kujali Kodi zinalipiwa mkoa gani. mfano serikali inaangalia Mapato ya Samaki
wa mwanza yalikuwa kiasi gani bila kujali Kodi zililipwa wapi, Samaki wa mwanza wakati mwingine wanasafirishiwa Kilimanjaro, Kodi zitalipwa Kia, kwa tra Mapato yatakuwa Kia, lakini Sasaki wametoka mza. Ni mfano tu.
 
Hiyo ni bustan ya kawaida sio ya kupumzikia bwana.mnataka mtudanganye nn mji wote tumetembea huko sakina.. Njiro sehem kibao.
 
Tatizo hamjaitembelea vizuri hii miji.kwa Mara ya kwanza nafika arusha niliiona ni kubwa kuliko mwz.ila nilipouzoea mji nikakata mitaa kutoka chekelen mpaka town.kutoka pale leopard round about kwenda njiro.kutoka town kwenda uwanja wa ndege na kutoka town kwenda usa river.arusha inakuwa ndogo sana kwa mwanza.arusha sehem ya uzungun ni njiro.na majengo yake nikama isamilo mwz.hawana sehem kama capripoint ya mwz.mwenye udhibitisho aseme.mwanza pande zote ni uzunguni njoo bwiru.nendà busweru.nenda Nyamongoro nenda ilemela upande wa malaika beach.nenda mwananchi huko kote ni sehem za kishefa tu.sio arusha.pili idadi ya watu.3 ni mzunguko wa pesa wa mwz ni mkubwa.4 ni kimagorofa tunagorofa ndefu kuliko arusha .Ghorofa 18 lipo capripoint.5 tuna mill kubwa east Africa nzima.6 tunamasoko makubwa kuliko arusha.kina changanya watu ni ukubwa wa center ya mji arusha ni tambalale na kubwa na inamagholofa mengi ila mwanza center ya mji ni ndogo kulingana na kubanwa na milima na maghorofa in machache..HK Ndio kinachowasumbua wengi.mwanza kieneo in kubwa sana sehem za makazi kuliko arusha na hatuna mashamba mjin.ila arusha ina misitu na mashamba yanayoiongezea kuitanua arusha bila watu kujua.mwz ni majumba kuanzia unapoingia mpaka unatoka.karibun sana mwz
Hahaha unajua kujitetea mkuu
 
Majengo gani makubwa yenye tofauti na yaliyopo arusha....tena kwa wingi wa majengo makubwa mwanza inazidiwa...

Miji ya Moshi na Arusha ni karibia inaungana sasa alafu mburulaz zinapuuza..

Sehemu za kupumzika zipo kwa mbele ya palace hotel,,sokoine road upande wa kushoto inatazamana na NBC bank,na pembeni ya mzunguko wa impala au ulitaka mji mzima uwe ni garden tu za kupumzikia..next time ukija arusha omba utembezwe

Wewe umeongea ukweli bila kuficha
Mwanza ilikuwa na kasi nzuri sana
Lakini hapa karibuni imepwaya

Ni kweli kabisa
 
Unaanza kuniambia chanzo cha habari ili niogope. Nakusubiri uiweke hiyo ripoti hata iwe mwakani, mimi nipo tu Teh Teh Teh Uh Uh Uh..
Unaongea kishabiki as if hizo data umeprove hazipo huku duniani... Mkuu wewe utakuwa mvivu sana wa kufatilia mambo..

Sasa tuanze hapa... Pakua hiyo link niayokuwekea, pakua hiyo doc kwenye PDF.. Kama nilivyosema ni Project ya UN na GoT.. Kwakuwa wewe ni mvivu wa kusoma anza kupitia ukurasa namba 26, nenda 27, nenda 28, nenda 29, twende 30 ila kwakuwa wewe ni mvivu wa kusoma unaweza kuishia hapo na utakuwa umepata jibu Mwanza iko mahali gani.. Ukitaka endelea zaidi ili uone uozo uliopo Mwanza..

http://hdr.undp.org/sites/default/files/thdr2014-main.pdf
 
Angalia web site TRA!

Regional Tax Statistics
Millions TShs.
REGION (TZ Mainland)
2002/03 2013/14
Large Taxpayer 4,491,991.0
Ilala (Previously DSM) 643,856.9
Kinondoni 365,770.7
Temeke 159,231.5
DSM Service Centre 3,158,744.8
JNIA 110,895.9
Arusha 242,054.6
Coast 14,853.5
Dodoma 28,368.1
Iringa 35,830.6
Kagera 27,239.9
Kigoma 9,168.6
Kilimanjaro 100,922.2
Lindi 4,992.4
Mara 75,537.7
Mbeya 68,332.9
Morogoro 39,080.3
Mtwara 41,923.5
Mwanza 117,691.1
Ruvuma 7,084.2
Shinyanga 17,699.0
Singida 4,166.4
Tabora 15,468.3
Tanga 83,084.7
Rukwa 6,334.0
Manyara 8,408.5
Total (GROSS) 9,878,731.4
Less Refunds (VAT & Others) 520,326.8
Net collections 9,358,404.5
Add:Treasury Vouchers & Other Non-targets 24,642.1
Total TRA Mainland 9,383,046.7
REGION (Zanzibar)
2002/03 2013/14
TRA Zanizbar 136,690.8
Tupatie hiyo link mkuu hapa
 
Haya bwana
 
Tatizo hamjaitembelea vizuri hii miji.kwa Mara ya kwanza nafika arusha niliiona ni kubwa kuliko mwz.ila nilipouzoea mji nikakata mitaa kutoka chekelen mpaka town.kutoka pale leopard round about kwenda njiro.kutoka town kwenda uwanja wa ndege na kutoka town kwenda usa river.arusha inakuwa ndogo sana kwa mwanza.arusha sehem ya uzungun ni njiro.na majengo yake nikama isamilo mwz.hawana sehem kama capripoint ya mwz.mwenye udhibitisho aseme.mwanza pande zote ni uzunguni njoo bwiru.nendà busweru.nenda Nyamongoro nenda ilemela upande wa malaika beach.nenda mwananchi huko kote ni sehem za kishefa tu.sio arusha.pili idadi ya watu.3 ni mzunguko wa pesa wa mwz ni mkubwa.4 ni kimagorofa tunagorofa ndefu kuliko arusha .Ghorofa 18 lipo capripoint.5 tuna mill kubwa east Africa nzima.6 tunamasoko makubwa kuliko arusha.kina changanya watu ni ukubwa wa center ya mji arusha ni tambalale na kubwa na inamagholofa mengi ila mwanza center ya mji ni ndogo kulingana na kubanwa na milima na maghorofa in machache..HK Ndio kinachowasumbua wengi.mwanza kieneo in kubwa sana sehem za makazi kuliko arusha na hatuna mashamba mjin.ila arusha ina misitu na mashamba yanayoiongezea kuitanua arusha bila watu kujua.mwz ni majumba kuanzia unapoingia mpaka unatoka.karibun sana mwz
Kama mzunguko wa pesa mkubwa kwanini kodi inayokusanywa Arusha ni mara mbili ya Mwanza wakati Mwanza ina idadi ya watu mara mbili ya Arusha??? Huko shule mlienda kusomea ujinga au kitu gani??
 
Huyo jamaa nilikuwa namuheshimu sana humu JF kumbe hata akili hana... Mwingine anajiita Mkuu wa Chuo ila hilo jina hafananii kabisa.. Empty set on head
Naona umenimaindi kinyama upo sehemu gani Arusha nije kuoa dada yako...?!
 
Angalia web site TRA!

Regional Tax Statistics
Millions TShs.
REGION (TZ Mainland)
2002/03 2013/14
Large Taxpayer 4,491,991.0
Ilala (Previously DSM) 643,856.9
Kinondoni 365,770.7
Temeke 159,231.5
DSM Service Centre 3,158,744.8
JNIA 110,895.9
Arusha 242,054.6
Coast 14,853.5
Dodoma 28,368.1
Iringa 35,830.6
Kagera 27,239.9
Kigoma 9,168.6
Kilimanjaro 100,922.2
Lindi 4,992.4
Mara 75,537.7
Mbeya 68,332.9
Morogoro 39,080.3
Mtwara 41,923.5
Mwanza 117,691.1
Ruvuma 7,084.2
Shinyanga 17,699.0
Singida 4,166.4
Tabora 15,468.3
Tanga 83,084.7
Rukwa 6,334.0
Manyara 8,408.5
Total (GROSS) 9,878,731.4
Less Refunds (VAT & Others) 520,326.8
Net collections 9,358,404.5
Add:Treasury Vouchers & Other Non-targets 24,642.1
Total TRA Mainland 9,383,046.7
REGION (Zanzibar)
2002/03 2013/14
TRA Zanizbar 136,690.8
Naona hapo Mtwara inazidiwa kidogo tu na Mbeya na hapo bado Dangote hakuanza kulipa kodi na bado kodi ya gesi haijaanza kukusanywa... Mtwara is a city to watch..
 
TRA Mwanza wanakusanya bilioni 117 wakati Arusha 242 bilioni!

Yaani Mapato Arusha kwa TRA ni mara 2 ya Mwanza! Pengine ungelinganisha Mwanza na Kilimanjaro ktk makusanyo ya kodi kwa ni Kilimanjaro hukusanya 101 bilioni wakati Mwanza ni 117!

Naona Ar wako juu zaidi! The Geneva of Afrika! wekeni facts!

Mapato ya arusha ni utalii sio wananchi wa kawaida kama mwanza.MTU anashukia kia analipia arusha kwenda Serengeti.sio mwanza.mwanza inategemewa namikoa ya Tbr .shy musoma kigoma na bukoba kufanyia manunuzi yao.sio arusha.pili kwa mtu mmoja mmoja kumiliki pesa wananchi wa mwz wapo vizuri.ukiwa na 100000 kwa mwz utaifanyia vitu vingi kuliko arusha.hicho Ndio cha maana kuliko kusema mnakusanya mapato meng wakat mlo wako unakusumbua.asante
 
Kuna kitu mnachanganya kuhusu uchangiaji wa pato la taifa Na Kodi zile za tra.
uchangiaji pato la taifa Ni uhalisia wa kile ambacho mkoa unazalisha ns kuchangia kwenye
pato la taifa bila kujali Kodi zinalipiwa mkoa gani. mfano serikali inaangalia Mapato ya Samaki
wa mwanza yalikuwa kiasi gani bila kujali Kodi zililipwa wapi, Samaki wa mwanza wakati mwingine wanasafirishiwa Kilimanjaro, Kodi zitalipwa Kia, kwa tra Mapato yatakuwa Kia, lakini Sasaki wametoka mza. Ni mfano tu.
Acha fix wewe... Ni lini Samaki wa Mwanza wakasafirishwa KIA??? Ukweli ni hapo Mwanza hakuna kitu, hata mzunguko wa fedha ni mdogo sana... Lile jengo la NSSF hapo limeshapata wapangaji?????
 
Mapato ya arusha ni utalii sio wananchi wa kawaida kama mwanza.MTU anashukia kia analipia arusha kwenda Serengeti.sio mwanza.mwanza inategemewa namikoa ya Tbr .shy musoma kigoma na bukoba kufanyia manunuzi yao.sio arusha.pili kwa mtu mmoja mmoja kumiliki pesa wananchi wa mwz wapo vizuri.ukiwa na 100000 kwa mwz utaifanyia vitu vingi kuliko arusha.hicho Ndio cha maana kuliko kusema mnakusanya mapato meng wakat mlo wako unakusumbua.asante
Sasa ukisema mapato ya Arusha ni utalii unataka utalii usiwepo?? Tukisema mapato ya Dar ni bandari na viwanda kwahiyo unataka bandari na viwanda Dar visiwepo?? Tukisema Mwanza biashara kubwa ni Samaki unataka hilo ziwa likaushwe??

Unaposema Mwanza maisha ya mmoja mmoja yapo safi una uhakika?? Unajua Arusha wazawa ndio wanamiliki magorofa yote pale mjini pamoja na mashimo kule Mererani?? Unajua Tanzanite Gram 1 tu ni Million 1 ya Kitanzania?? Unajua Hotel zote kubwa hapa Arusha zinamilikiwa na wana Arusha?? Hivi nikikuuliza nani anamiliki Malaika Beach utajibu??

Tuache porojo, maisha ya mmoja mmoja soma hii document ya UNDP kuanzia ukurasa wa 26 mpaka 30 utapata jibu kati ya Arusha na Mwanza wapi kuna maisha bora.. http://hdr.undp.org/sites/default/files/thdr2014-main.pdf
 
hizi mada zinagawa watu kikanda na kikabila, kuna mada nyingine ya moshi vs dodoma, hazina tija...

Wasiwasi wako tu, wala haziwagawi watu kikanda. Labda tukisema, zamani Tanga kulikuwa na ushirikina sana, lakini leo Kilimanjaro mkoa wa wasomi ndiyo unaongoza kwa ushirikina na kuwa na watoto mazezeta. Ni nini kimeisibu Kilimanjaro? Hivi maneno haya yana nguvu gani ya kuwagawa watu kikanda wakati nd'o ukweli.
 
hdi.png
 
Back
Top Bottom