Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Kuiga si tatizo ndugu. Maendeleo yanakuja kwa kujifunza toka kwa walioendelea sio walioshindwa. Unajua watu wengi waishio Arusha wapo very competitive ukilinganisha na sehemu kama Mwanza. Hii imesaidia sana machalii kujua kutumia fursa. Hii ni attitude nzuri kuhusu maisha, watu wa Mwanza mjifunze pia. Arusha ndio sehemu bora zaidi kuishi Tanzania, takwimu inathibitisha hili. Mwanza hata changamoto ya matumizi ya vyoo bora bado ni tatizo kubwa. Naipenda Mwanza nimesoma Mwanza ila uhalisia ndio huo rafiki.
Pricesely true
 
Nwanza
538387ecdeea3047e33dea6601f7e6a5.jpg
 
Wakati Arusha wananchi wanamiliki machimbo ya Tanzanite kwa Garama zao wenyewe na kulipa kodi serikalini, Mwanza wanasubiri mzungu achimbe achukue mawe amwagie udongo watafute 'magwangala' halafu bado Mwanza wanaleta ujuaji? Kumbe ukoma ni ugonjwa unao anzia kichwani?! mnawaza kuomba mpaka mnapanga foleni kuomba na udongo? Kazi ipo halafu mnaleta ujuaji?! Hovyo.
 
Wakati Arusha wananchi wanamiliki machimbo ya Tanzanite kwa Garama zao wenyewe na kulipa kodi serikalini, Mwanza wanasubiri mzungu achimbe achukue mawe amwagie udongo watafute 'agwangala' halafu bado Mwanza wanaleta ujuaji? Kumbe ukoma ni ugonjwa unao anzia kichwani?! mnawaza kuomba mpaka mnapanga foleni kuomba na udongo? Kazi ipo halafu mnaleta ujuaji?! Hovyo.
[emoji2] [emoji2] Nomaa
 
[emoji2] [emoji2] Nomaa
Mkuu nimewafuatilia kitambo hawa jamaa, wao wakiambiwa Arusha kali wanatoka povu kweli halafu wanatuletea majengo ya magorofa yaliyopo mwanza na kujinasibu ndio maendeleo, kwani A town hakuna magorofa?! Wanatumalizia bando na picha nyiiingi, ukweli mchungu Arusha ndio jiji haawataki haya wapite hivi.
 
TRA Mwanza wanakusanya bilioni 117 wakati Arusha 242 bilioni!

Yaani Mapato Arusha kwa TRA ni mara 2 ya Mwanza! Pengine ungelinganisha Mwanza na Kilimanjaro ktk makusanyo ya kodi kwa ni Kilimanjaro hukusanya 101 bilioni wakati Mwanza ni 117!

Naona Ar wako juu zaidi! The Geneva of Afrika! wekeni facts!
 
Tatizo hamjaitembelea vizuri hii miji.kwa Mara ya kwanza nafika arusha niliiona ni kubwa kuliko mwz.ila nilipouzoea mji nikakata mitaa kutoka chekelen mpaka town.kutoka pale leopard round about kwenda njiro.kutoka town kwenda uwanja wa ndege na kutoka town kwenda usa river.arusha inakuwa ndogo sana kwa mwanza.arusha sehem ya uzungun ni njiro.na majengo yake nikama isamilo mwz.hawana sehem kama capripoint ya mwz.mwenye udhibitisho aseme.mwanza pande zote ni uzunguni njoo bwiru.nendà busweru.nenda Nyamongoro nenda ilemela upande wa malaika beach.nenda mwananchi huko kote ni sehem za kishefa tu.sio arusha.pili idadi ya watu.3 ni mzunguko wa pesa wa mwz ni mkubwa.4 ni kimagorofa tunagorofa ndefu kuliko arusha .Ghorofa 18 lipo capripoint.5 tuna mill kubwa east Africa nzima.6 tunamasoko makubwa kuliko arusha.kina changanya watu ni ukubwa wa center ya mji arusha ni tambalale na kubwa na inamagholofa mengi ila mwanza center ya mji ni ndogo kulingana na kubanwa na milima na maghorofa in machache..HK Ndio kinachowasumbua wengi.mwanza kieneo in kubwa sana sehem za makazi kuliko arusha na hatuna mashamba mjin.ila arusha ina misitu na mashamba yanayoiongezea kuitanua arusha bila watu kujua.mwz ni majumba kuanzia unapoingia mpaka unatoka.karibun sana mwz
 
Hata mimi nimesoma na kuishi huko. Napajua vizuri, Arusha iwe sehemu bora ya kuishi toka lini? Hayo matukio ya kutumia silaha huwa yanatokea wapi au ndio mtindo wa maisha ya siku hizi.? Leteni taarifa za uhakika, kuna mwenzio kasepa baada ya kumwambia namsubiri.
Wewe utakuwa na matatizo ya kufikiri, matukio ya kutumia silaha za moto ni ishara ya maendeleo, sasa huko mnapo katana mapanga na kuchomana visu sio uhalifu? Tena hizo silaha zenu zina tia hasira sana kumshambulia nazo binadamu mwenzako, Arusha ni kama New york city, silaha za moto zinatembea.
 
Ngoja nikuambie kitu, wakaazi wa Mwanza hudhani wao ni inferior mbele ya wakaazi wa Arusha. Labda hili ni kweli kwasababu ukijaribu kuchunguza utangundua wakaazi wa Arusha wengi wako competitive kwasababu ya exposure, wakaazi wa Arusha wanachangamana zaidi na wageni kwahiyo ni rahisi kujifunza mambo mengi ya kimaendeleo zaidi ya mkaazi wa Mwanza anayewaza kuvua samaki na kulima tu. Ukitembelea vyuoni haraka utagundua vijana toka Arusha wasichana kwa wavulana wana exposure zaidi ya wenzao. Hii yote inaleta tofauti na kufanya vijana toka Arusha waonekane bora zaidi. Ukweli huu upo wazi sana
 
Miji ya arusha na moshi ni sawa na mwanza hadi magu sasa hapo kwa nini isiungane na tena wapo slow sana.kutoka mwanza hadi shy ni km 162.mwnz to msm nizaidi ya 200 na mwz na bkb ni zaid ya km 200 sasa unataka ulinganishe na km 60 wapi na wapi.tumien vigezo vyote
 
TRA Mwanza wanakusanya bilioni 117 wakati Arusha 242 bilioni!

Yaani Mapato Arusha kwa TRA ni mara 2 ya Mwanza! Pengine ungelinganisha Mwanza na Kilimanjaro ktk makusanyo ya kodi kwa ni Kilimanjaro hukusanya 101 bilioni wakati Mwanza ni 117!

Naona Ar wako juu zaidi! The Geneva of Afrika! wekeni facts!
Tupatie hiyo link mkuu hapa
 
Back
Top Bottom