Mwanza City: The Photo Gallery

Mama samia akijaga mwanza asimame buhongwa au igoma hyo ndo nafas ya kumbana mama tunataka barabara ya dual carriage kutoka mjini had usagara badala yake anaongelea madarasa na vituo vya afya
Katika vitu ambavyo sipendi viongozi wajisifie navyo ni madarasa na vitu vya Afya...

Yaan huwa wananikera kweli...



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hii mitaa uliyotaja unafananisha na mtaa gani ilemela? Nyumba inakuwa expensive kulingana na ubora wake.
Igogo unakuta baadhi ya nyumba hazina hata plaster utapangisha kwa shilingi ngapi nyumba kama hiyo?
 
Sasa hawa si matajiri angalia Milima iliyojengwa na matajiri na iliojengwa na maskini.
Hata hapo capripoint kuna sehemu wamejenga maskini ni pa hovyo.
Kuna watu wanajenga nyumba wengine tunajenga sehemu za kujihifadhi.

Kwaiyo unamaanisha masikini hana nafasi kwenye maendeleo ya jiji letu
, Dunia Dunia.

Nacho amini ata uko kwa masikini wakiamishwa wote then wakaweka ramani mpangilio wa jinsi ya kujenga alafu wakaruhusu na hao masikini wajenge wapo watao weza kujenga pia maana mtu anaeza jenga nyumba ya haraka haraka sababu ramani anayoyeye kichwan mwake na anatafuta urahisi ndo matokeo yake ndo ayo ila akipewa mwongozo atatumia muda na kutuliza akili wakati w kujenga.

Tukiwafukuza ata huko watakoenda kutapata thamani badae alafu tutaona hakufai wao kukaa na huko wafukuzwe tena
sio sawa ivo.
 
nipo huwa nafuatilia mara nyingi wakitokea vichaa kama kina The Sunk Cost Fallacy wakipotosha tunawaweka kwenye mstari...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hii mitaa uliyotaja unafananisha na mtaa gani ilemela? Nyumba inakuwa expensive kulingana na ubora wake.
Igogo unakuta baadhi ya nyumba hazina hata plaster utapangisha kwa shilingi ngapi nyumba kama hiyo?
Hvi vijumba vilivyopo nyamanoro,kirumba milimani ,kitangiri,bigbite unaona ni standard au
 
Ilemela ndio mandhari ya jiji la mwanza.
 
Hapo Kwenye suala la Kuomba dual carriage wabunge wanajitahidi sema serikali inafanya feasibility study miaka nenda rudi
 
Mitaa ya huko kirumba . ilemela..ni tabu tupu
.huyu mwanasiasa anatembelea wajumbe wakeView attachment 2375199
Ila kuishi . mlimani ni kipaji Jamani. .ni tizi Moja ambalo huhitaji kwenda hata jimy au jogging...,,,,Ile tabu ya kupanda mlima hasa unapofata maji huko bondeni ,,,,,miaka hyo mwanza kulikuwa hamnaga mabomba mlimani , ilikuwa tabu tupu ,,,,enzi hzo nakaa mahina kambarage karibu na mkuyuni ule mlima sio ulitaka kunitoa meno siwez sahau ...serikali sa hv wamejitahid kupandisha maji mlimani ..
..wanaokaa milima ya mbugani pale town aisee kazi wanayo .
..mim kiwanja Cha mlimani kwenye mawe hapana ..maybe iwe milima yenye tambalale juu kama palivyo nyegezi majengo,au mabomba nne kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…