Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,079
- 4,893
Haiungiki AKILINI eneo la POSTA DSM kugeuzwa Mabanda ya MACHINGA na MAMA NTILIE.
Eneo hiyo wakati wa Utawala wa AWAMU ya Kwanza na ya PILI yalikuwa ni Maneno ya Kuvutia sana.Leo hii Maeneo hayo hayana tofauti na MANZESE,TANDALE na MBAGALA.
Huku DALADALA zinapakia Pembeni MAMA NTILIE anapika CHAPATI na VITUMBUA.
WAMACHINGA wamejenga VIPANDA mpaka pembezoni mwa OFISI za SERIKALI na MADUKA ili Mradi ni VURUGU.
Eneo la Wizara ya ARDHI limegeuka SOKO
Stendi la Mwendokasi nalo ni SOKO na VIBANDA vya Mama LISHE na MACHINGA hata Kupaki DALADALA imekuwa Shida MA SHOE SHINER na WAUZA VOCHA wamejenga VIPANDA kwenye MAGETI ya OFISI za SERIKALI
JIJI LIMECHAFUKA KILA KONA