Mwanza: Auawa na mabaunsa kisa Tsh 8000

Mwanza: Auawa na mabaunsa kisa Tsh 8000

Umri 26yrs,Makazi Mbugani halafu unaenda kulewa bar Kona ya Bwiru???
 
Vijana wanataka Starehe bila kufanya kazi, hayo ndio matunda, na hapo Mpaka anapigwa kipigo hicho alileta jeuri
Ukiajiriwa kama baunsa unapewa mafunzo ya kuweka na kudhibiti amani sio kupiga wateja wakorofi, hizi akili kama za askari wa Samia mtaishia pabaya, watafungwa hao au revenge ya ndugu wa marehemu inawahusu, they’re fckd either way
 
Baunsa utakuta mshahara hata kima cha chini hakifiki, unaleta ubabe wa kifala mpaka unaua mlevi, kabari kidogo pingu akiamka pombe imeisha,then mnapiga marufuku asirudi kiwanja
 
Sijawahi kuona starehe ya kwenda sehemu ina makelele miziki yenyewe mafamba, mziki unapiga kwenye moyo unakupasua ngoma za masikio. Ungese tu
 
Bora hata wangemtoa simu, kama hana simu wachukue viatu, kama viatu hana wabebe suruari, au hata shati ili abaki hai taarifa itoke kuwa AVULIWA VIATU NA NGUO KWA KUSHINDWA KULIPA 8000. tubaki tukimtania cku mbili mambo yaishe. Sa kweli hili la kumtoa uhai mabaunsa walifikiria nin coz bar kuwa na mabaunsa ni bar kubwa tuseme hata wakashinwda kumkabidhi maaskari wakaamua kumuua ku. Anyway R.I.P and you who did this R.IJ.{Rot In Jail}. Hata nyie wanaume wa mwanza mliokuwepo bar manna zenu washenzi wakubwa sana yani mkasindwa hata kulipia comrade buku buku mkabaki kukenua meno shenz type. Kama ulikuwepo tukio likitokea ukaenda na demu ukashndwa kumsaidia huyo jamaa upate ukimwi na kaswende utibiwe kwa 800k. Yaan mmekera sana ila bas tu.
 
Kila nnapopita nakuona hii post natamani kutusi wanaume walokuwepo kwene tukio hili. Jana hela mmehonga lakn kumsaidia mwenzenu asiuawe mkashindwa yan wamwanza mmekera sana. Hata jero jero zikawakosa hadi jamaa akakatishwa uhai mwanoko nyamachobho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom