Mwanza: Auawa na mabaunsa kisa Tsh 8000

Mwanza: Auawa na mabaunsa kisa Tsh 8000

RIP ndugu yangu katika bia.

Yeye ameshaenda. Waliobaki kesi wanayo. Yaan watataabika kwa 8k.

Mara nyingne hatua tunazochukua kusort tatizo ni muhimu kufikiria matokeo yake.

Hata kama wasingemuua. Ile kumpiga tu na kumuumiza. Angeenda chukua PF3 alaf akaenda tibiwa hosp. Akalipa hela na akarud kudai hela zake za matibabu pamoja na gharama za usafiri. Ambayo still ingekuwa gharama kwa Wenye Bar zaid ya hiyo 8k aliyokuwa anadaiwa.

Hapo wangechukua simu. Au wangemvua viatu na shat. Au chochote tu.
 
eh mbona jana imepita na haujanitajia yale majina mawili yalobaki why
 
Aisee hata mimi nimeumia sana

Ila siku ukidakwa huko bar
Nishtue nitasongesha wasije wakakuumiza๐Ÿ˜ข

Castle_Lite ndugu katika ๐Ÿป
 
Kaka usiwe unayaambia hayo majamaa ,ni mabishi sana alafu yanaringa .
Siku ukijaa kwenye hamsni zao ,yanapiga kweli kweli alafu yanapiga sehemu sensitive kabisa
Kuna moja lipo kitambaa cheupe tabata linatabia ya kufosi kulipa tipu au kufosi kinywaji..
Sasa mimi huwa simpi hadi kaniwekea kinyongo
 
eh mbona jana imepita na haujanitajia yale majina mawili yalobaki why
Si unaona kabisa niko kwenye maombolezo ya msiba wa ndugu yangu. Hebu subiria basi tumalize msiba๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

By the way wanawake wa JF mmewakatisha tamaa majamaa wa waraka. Mmewachamba sana.

Mngezubaa tu kidogo waraka zingekuwa nying kama agano jipya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Waraka wa Win-one sijui ungekuwa na sura ngap.
 
Kuna moja lipo kitambaa cheupe tabata linatabia ya kufosi kulipa tipu au kufosi kinywaji..
Sasa mimi huwa simpi hadi kaniwekea kinyongo
Hilo ni lindugu na matimla na pia linatokea keko ,lilikuwa likabaji ,siku nastuka eti limeibukia kwenye ubaunsa .

Ila bro lile ngumi linajua ikiwezekana lipe tu tip lisije kukupiga bure ndugu yangu
 
Si unaona kabisa niko kwenye maombolezo ya msiba wa ndugu yangu. Hebu subiria basi tumalize msiba๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

By the way wanawake wa JF mmewakatisha tamaa majamaa wa waraka.
Mngezubaa tu kidogo waraka zingekuwa nying kama agano jipya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Waraka wa Win-one sijui utakuwa na sura ngap.
huyo wa kunaindikia waraka atakua anajiingiza matatizoni tu maana nishaeleza mara kibao kwangu hakuna kila kitu labda kama ni wale wa "kikubwa awe anapumua",,๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ ndo naweza kumpa nafasi
 
Si unaona kabisa niko kwenye maombolezo ya msiba wa ndugu yangu. Hebu subiria basi tumalize msiba๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

By the way wanawake wa JF mmewakatisha tamaa majamaa wa waraka. Mmewachamba sana.

Mngezubaa tu kidogo waraka zingekuwa nying kama agano jipya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Waraka wa Win-one sijui ungekuwa na sura ngap.
Astghafirullah nani kawachamba ๐Ÿคฃ
 
Si unaona kabisa niko kwenye maombolezo ya msiba wa ndugu yangu. Hebu subiria basi tumalize msiba๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

By the way wanawake wa JF mmewakatisha tamaa majamaa wa waraka. Mmewachamba sana.

Mngezubaa tu kidogo waraka zingekuwa nying kama agano jipya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Waraka wa Win-one sijui ungekuwa na sura ngap.
Aione rafiki yangu Associate prof
 
Mwaka Jana nilisimama hapoo mjini Dodoma nilikuwa naenda Monduli kukamilisha vipengele vya ndoa.Sasa Ile asubuhi kuanzia 11 mpaka 3 na kitu bill inakuja laki sita na ushee .Aisee tulizungukwa na mabaunsa ,wahudumu ,wapishi ,Kwa Yale macho wangetuua washenzi wale.Option ilikuwa imebaki ni kuzinesa tu au kulipa.Aisee.
 
View attachment 3587608
#HABARI Kijana mmoja mfanyabiashara mkazi wa Mbugani Jijini Mwanza, anayejulikana kwa jina la Mzafaru Yunus (26), amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa kikatili ndani ya Baa iliyopo Kona ya Bwiru, Kata ya Nyamanoro wilayani Ilemela, kufuatia kushindwa kulipa bili ya vinywaji yenye thamani ya Sh 8,000.

Tukio hilo limeibua taharuki miongoni mwa wakazi huku Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza likiwashikilia watu tisa wanaodaiwa kuhusika, wakiwemo walinzi wawili maarufu kama mabaunsa.

Akizungumza kuhusu tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema marehemu alishambuliwa kwa ngumi, mateke, vipande vya mbao pamoja na bomba la chuma sehemu mbalimbali za mwili wake hadi kupoteza maisha.

Soma Pia: Arusha: Polisi auawa na wananchi akidhaniwa kuwa mwizi, Sita wakamatwa kwa tuhuma za mauaji

Amesema miongoni mwa waliokamatwa ni meneja wa baa hiyo, wafanyakazi wa usafi na walinzi wawili, huku watuhumiwa wengine wakidaiwa kutoroka kabla ya kukamatwa na polisi wanaoendelea na uchunguzi wa tukio hilo. #EastAfricaTV
Aisee
 
huyo wa kunaindikia waraka atakua anajiingiza matatizoni tu maana nishaeleza mara kibao kwangu hakuna kila kitu labda kama ni wale wa "kikubwa awe anapumua",,๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ ndo naweza kumpa nafasi

๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š jaman ww si ulisema ni black beauty na una uzur wa asili kama wale wanawake wa kisabato wa Kinyarwanda.
 
Back
Top Bottom