Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,773
- 16,911
1. Hv pale kwa counter ya cashier unarukaje? Ikiwa tu hata kichwa halipiti?Hiyo story haijakaa sawa , mtu anaenda kupora bank bila kuwa na silaha, halafu anamfata kaunta na kuomba pesa ya kula
2. Kuna kosa la kiuandishi au namna gani? J2 ndo ilikuwa tarehe 13, naomba kujua jina na tawi la hy bank...kuna uongo hapo.
3. Mtu asiye na siraha anapigwaje risasi?