ally habib
Member
- Feb 19, 2013
- 37
- 8
na pia wengi wanajua kitu pesa ndio mpango mzima.......huyo wa mtaani nitajuaje kama ana pesa....?.....je kama kaazima mitungo ili anizengue......? akaaaa weeee.....humu humu ndani ndio mpango mzima.......

Hahahah dokta kuna gari la pesa limeanguka mtaa wa pili hapo...kama vipi beba kikapu twende!!
Huku mtaani hakuna wa maana. Vipi wewe umeshaonekana ama ndo wajiuza hapa?
Yeooouu.....unasema kweli.......?....zipo noti za sh ngapi ngapi......?.....nihakikishie hakuna sh 500.........