Kweli wewe mbongo umenikumbusha mbali mandingo tehe teheWa humu hanijui kiundani hivo ni rahisi kumzingua............
Btw wa Mtaani ananijua vizuri hivo sitaweza kumfanyia mandingo labda nimletee ukauzu.
Yeooouu.....unasema kweli.......?....zipo noti za sh ngapi ngapi......?.....nihakikishie hakuna sh 500.........
mhm tokeni zenu hamna cha choice wala nini semwni market value yenu ipo chini....mikoa tofahti mapenzi ya mbali tangu lini yakadumu?
vipi mbona hasira hivo. 0713 aliwe mwingine we mipovu ikutoke majangaaaaa. kama huna madolari we jiendee fb huko utakutanao wa size yako kwi kwi kwi
Mie binafsi siangalii avatar hata siku moja.
Nazama nae PM nikiona anaelekea.........naibuka nae, BTW nikiona longolongo naachana nae humo humo PM kabla hatujaonana uraiani.
'love doesn ask why-celine dion'
nakutafuta ww...
Madame B,i salute u!
Kweli wewe mbongo umenikumbusha mbali mandingo tehe tehe