Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,760
- 14,005
mtagegedwa mpaka mkome na mtaliwa mpaka 0713
vipi mbona hasira hivo. 0713 aliwe mwingine we mipovu ikutoke majangaaaaa. kama huna madolari we jiendee fb huko utakutanao wa size yako kwi kwi kwi
mtagegedwa mpaka mkome na mtaliwa mpaka 0713
Nimekua nikifuatilia post zenu akina dada wa humu Jf. Nataka mchumba, na details zenu zinaonyesha kuwa ni vifaa vya ukweli. Swali langu ina maana huko mtaani hamuonekani?
Huku mtaani hakuna wa maana. Vipi wewe umeshaonekana ama ndo wajiuza hapa?
Sasa wa humu utamjuaje kwamba anazo? Avatar haziwezi kukueleza kitu......
hii imekaa kizilipendwa na kilong time agoo zaidi
hawa ndio wale hela zao za msimu wa nini huyo tunaangalia mbali sana akiishiwa !!source ya hela zake isikute ni akina ;;yahaya;;Preta, windowXP na Mrembo by Nature hebu someni hii maneno hapa...
Nitajitolea kuwafungulia akaunti fesibuku na twita ili muende sawa na huyu pedeshee...hahahah
Dada Preta, wajua maana ya neno 'mtungo' weye? Nilikua napita tu humu....je kama kaazima mitungo ili anizengue......?
Hahahaha mtoa mada atajuta kutufahamu
Mie binafsi siangalii avatar hata siku moja.
Nazama nae PM nikiona anaelekea.........naibuka nae, BTW nikiona longolongo naachana nae humo humo PM kabla hatujaonana uraiani.
Yaani nimecheka sana hapo kwenye red.
Pole sana mkuu kwa kukuvunja mbavu.
Usiku mwema.
Ulale unono.