Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,848
- 37,551
huyu mtoa mada nae,cjui yupo karne gani?
Au hujui tushahamia digitali?
Au hujui tushahamia digitali?
Preta, windowXP na Mrembo by Nature hebu someni hii maneno hapa...
Nitajitolea kuwafungulia akaunti fesibuku na twita ili muende sawa na huyu pedeshee...hahahah
Hawajazoea uhalisia wamezoea maisha ya kuzinguana na wala siyo kama unavyofikiria wote waliomo humu wapo katika Two Identity....Ukija kwenye *(Ubaya) Wapo wabaya,Ukija kwenye Tabia Wapo wenye tabia chafu,Ukija kwenye busara Wapo hata busara za mlevi hawana!! kwenye *(Uzuri)Ukija kwenye sura wapo wazuri,Ukija kwenye tabia wapo wenye tabia nzuri,ukija kwenye Busara kuna waliobarikiwa kama wahubiri wa maneno ya mungu!,Nimekua nikifuatilia post zenu akina dada wa humu Jf. Nataka mchumba, na details zenu zinaonyesha kuwa ni vifaa vya ukweli. Swali langu ina maana huko mtaani hamuonekani?
mhm tokeni zenu hamna cha choice wala nini semwni market value yenu ipo chini....mikoa tofahti mapenzi ya mbali tangu lini yakadumu?
TANMO for sale.... Nipe ofa yako
Nimekua nikifuatilia post zenu akina dada wa humu Jf. Nataka mchumba, na details zenu zinaonyesha kuwa ni vifaa vya ukweli. Swali langu ina maana huko mtaani hamuonekani?
Hahahahahahha JF kuna wanaume au waharibifu wa mazingira ??? kweli vimeo vimejaa humu kama mtu anawaza ndoa kwa humu JF heri abadili msimamo tu aanze kuangaza mtaani kwao na kanisani. Wachache sana wanajiheshimu humu na wa kupeleka wadada kwenye next level ya uhusiano
yanadumu ni wewe tu. cha muhimu mkishaanza serious ukaribu utapatikana.
Sasa wa humu utamjuaje kwamba anazo? Avatar haziwezi kukueleza kitu......Wa humu hanijui kiundani hivo ni rahisi kumzingua............
Btw wa Mtaani ananijua vizuri hivo sitaweza kumfanyia mandingo labda nimletee ukauzu.
Halafu awe mrefu kwenda chini......mbona nyie kutwa mnaweka matangazo ya kutaka wake
mara wawe walokole,mara awe mrefu kwenda juu
Halafu awe mrefu kwenda chini......
yanayodumu either one or both partners are cheating
Auntie Tina unajiuza siku hizi?