Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

hivi sifa za mtu kuwa Rais wa nchi ni zipi ambazo Anna Makinda hana?

Rais lazima awe na akili timamu, Makinda hana akili timamu. Hawezi kuficha faili la Lema kuhusu waziri mkuu Pinda kusema uongo wakati liko mezani kwake. Kama hawezi kushugulikia vitu vidogo kama hivyo ataweza kuimarisha uchumi kweli??
 
hakuna anayezaliwa ili awe rais!hata wewe unaweza kuwa raisi ndugu.
 
Mmeishazoea
akili ndogo kuongoza akili kubwa ndani ya CCM. Ndio maana inakuwa
vigumu kwenu kujua nani anafaa kuwa rais na nani hafai...

hahahaaaaa, usitake ncheke. chadema ndo kuna akili ndogo. mwenyekiti ni form four, katibu mkuu ana degree ya kanisa, information and publicity naye ni hovyo. halafu hao ndo wanaongoza maprofessor kama Abdallah Safari. chama kimelaaniwa hiki!
 
Nitacheka sana siku hiyo....

Hapa kuna Anna Makinda, pembeni Uhuru Kenyatta, kushoto kuna Paul Kagame, huku kuna Museveni na kwa mbali kuna Nkunzinza. Haa haa haaaah, bibi Kiroboto will be intimidated. Tutashangaa kwa nini kila siku anafanya ziara kwenda Zimbabwe kumbe ndio kwa mzee mwenzie anayemmudu kukaa stage moja, Mugabe...
 
Rais lazima awe na
akili timamu, Makinda hana akili timamu. Hawezi kuficha faili la Lema
kuhusu waziri mkuu Pinda kusema uongo wakati liko mezani kwake. Kama
hawezi kushugulikia vitu vidogo kama hivyo ataweza kuimarisha uchumi
kweli??

hahahaaaa. yaani maneno ambayo Lisu alitamka akiwa amechizika kutokana na kale kaugonjwa kake ka mwisho wa mwezi wewe unakubali? hakika chadema kuna vihiyo wengi. mbona akili yake ilipotulia baada ya kutibiwa na Dr Hamisi Kigwangala hajakumbuka tena aliyotamka
 
hahahaaaaa, usitake ncheke. chadema ndo kuna akili ndogo. mwenyekiti ni form four, katibu mkuu ana degree ya kanisa, information and publicity naye ni hovyo. halafu hao ndo wanaongoza maprofessor kama Abdallah Safari. chama kimelaaniwa hiki!

Kweli wewe ni wale wale, wanakulipaje buku saba kama hujui hata akili ni nini?? Akili ni IQ...

Mtu kama Freemani Mbowe anaongoza biashara za mabilioni, akili kubwa hiyo, very Intelligent in business. Joseph Mbilinyi Sugu ni mwanamuziki aliyepata mafanikio makubwa sana kwenye muziki, IQ yake iko juu.

Hata Kikwete licha ya kupata GPA ya 2.1 pale UDSM haikuwa na maana kuwa IQ yake ni ndogo, lakini alipoingia kwenye IQ test juu ya uongozi wake ndio kila mtu kaona kama jamaa Kikwete ni akili ndogo mno, yet ni mwenyekiti wenu wa CCM.
 
Ninasikiliza vichwa vya habari magazeti ya LEO eti Mzee Mwandosya amempendekeza Anna Makinda kwa urais 2015.

My Take:
Uraisi sasa imekuwa ni JOKE na inaonekana kila mtu anaweza kuwa rais wa Tanzania. Inaelekea nchi hii haina hata JOB DESCRIPTION YA URAIS

Kwa lipi sasa hilo alilofanya...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kama taasisi moja tu ya bunge imemshinda hii nchi ataiweza kwa mtindo upi? Nadhani labda wakati huyo mwandosya anayatamka hayo alikuwa anataka kutufanya tucheke tu ili tuongeze siku za kuishi.
 
hivi, Mbowe, Mnyika, Rose Kamili, Halima Mdee, Sugu, Msigwa, Ndesamburo na wengine ndani ya CHADEMA, wana uwezo wa kumzidi Mama Makinda? acheni dharau jamani
Makinda amepotesa adhi ya kuwa MAMA kama anaruhusu au anaendelea kuongoza bunge la wauza mihadarati. Akipata nchi nadhani mihadarati itaruhusiwa kuuzwa baa. Haiwezekani na hainiingi akirini kuona mtu mnafiki kama makinda watu wanampigia upatu wa kuwa rais. Mtu anayepindisha kanuni mchana kweupe ili nchi iende pabaya leo apewe kiti kikubwa cha maamzi si ndo twafa!!!!

Ukweli ni kwamba wauza mihadarati ndo maranyingi kwenye nchi wanapopatikana kwa wingi kama Tanzania ndo wanamaamzi ya nani awe raisi. sasa hili naliona maana kwa kuwa kuwa wabunge wengi ni wauza hiyo kitu na yeye amekuwa akiwakingia kifua bac watampitisha na atakuwa raisi. Mbunge wa kinondoni Oyeeeee!
 
mwisho na salma kikwete nae utasikia anataka kuwa rais achilia mbali kina kisandu
 
Uwezo wa makinda kiuongozi ni mkubwa sana. Unaweza kulinganishwa viongozi kumi wa upinzani wakiunganishwa kwa pamoja, ie 1 makinda = 10 opposition men leaders tena wa huku bara.

Waambie wakuongezee mshahara wa kampeni!! Nadhan ubongo wako haukua na ushirikiano na mikono yako ulipokua unaandika huu ujinga..
 
hahahaaaaa, usitake ncheke. chadema ndo kuna akili ndogo. mwenyekiti ni form four, katibu mkuu ana degree ya kanisa, information and publicity naye ni hovyo. halafu hao ndo wanaongoza maprofessor kama Abdallah Safari. chama kimelaaniwa hiki!
mkuu hivi akili ni degree? Vipi kina chenge akili yake inamsaidia nin?
 
mkuu, kuna watu humu jf wamejidharau hali ambayo inawafanya wadharau na watu wengine

labda awe rais wa watu wa njombe waishio dar.
maana urais wa wasafi diamond ameshaukamata na wa.manzese madee... ndio rais wao wa maisha
 
Mh majanga nanyi muangalie vya kuhoji kwa uwezo gani wa uongozi aliokuwa nao
 
Back
Top Bottom