Le-Professor mjanja kiboko ya mzee wa-sawasawa...hhhhwewe ndo ulimpokea lipumbavu kigali kipindi kile?
Labda tume sio watanzaniaMwendawazimu tu huyo jamaa, alitumika pia kujaribu kumuweka lowassa ikulu ila watanzania tulikataa.
Si kila mgeni ni mgeni!Anyway,tunamjadili rais wa mioyo ya watu-hahahahaha!Ingizo jipya , karibu sana Jf , umeingia ijumaa iliyopita lakini povu kibao !
Kwakuwa hufahamu kwamba Star tv bila VOA haiwezi kwenda hewani.Yakirushwa hayo mahojiano na Star tv labda siyo .....
Ana English ya kuotea mbaliShaka Ssali very humble man,
Nilihudhuria mkutano usdm last week, nikapata dakika 5 za kuongea nae, yaani Africa bado tunawazalendo na si lazima uwe mwanasiasa ili kutetea waafrica wenzako
invest what you are willing to lose
Kwako wewe urais ni issue ya kufa na kupona? Nduguvyako Odinga toka enzi za baba yake wanafikiri urais ni issue ya kufa na kupona na hawatakaa waupate.Hakika sifahamu!Vipi,labda baada ya usahili huo Eddo atakuwa Rais?
.....itabidi awepo mtafasiri hapo, leigwani hajuagi kutema yai litakalofanya watu wa VOA dunia nzima wamuelewe. wagombea wa 2015 wote kwa yai ilikuwa shida tu.
Pia,kwa vile hufahamu star tv bila Tcra haiwezi kwenda hewani!
Shame on you!Shaka hata fanya mahojiano na mzee wa Makanikia? Au lugha gongana? Nakumbuka aliwahi kufanya mahojiano na Rais Mkapa niliyapenda sana yale mazungumzo
Kabisaaaa, yani ukiongea nae msikilize haswaAna English ya kuotea mbali
Kwani yeye ni mpiga kura au alikuwa msaidizi wa Lubuva? Mbona mnapenda kusingizia watu uongo?Mwendawazimu tu huyo jamaa, alitumika pia kujaribu kumuweka lowassa ikulu ila watanzania tulikataa.