Mwanaumme ni nini?

Nshomile Ruta nimekubali shairi lako. Imebidi niandike kwani nilihisi kitufe cha "like" kisingeyatendea haki mawazo yangu. Ila unaonaje ukijikita kwenye umalenga ikiwezekana uandike vitabu kwa ajili ya hiki kizazi kipya cha SMS.

Tata ushauri mzuri tatizo ni muda sina........
 
Last edited by a moderator:
salute bro... mwanaume mshiko

Elia mshiko upi........mishiko iko kibao na huja kwa sura tatanishi hivi.........
 
Last edited by a moderator:
salute bro... mwanaume mshiko

Elia mshiko upi........mishiko iko kibao na huja kwa sura tatanishi hivi.........
 
Last edited by a moderator:
[Welcome back Chief. Kwa mashairi sikuwezi. Mwanaume ni kiumbe wa ajabu sana..anajikana mwenyewe kisa kuogopa majukumu..baadaye yeye huyo huyo arudi na kuomba msamaha..

Rogie hoja imesikika
 
Last edited by a moderator:

Haika familia ni one flesh in spirit.........
 
Last edited by a moderator:
nyie mnaoweka mashairi hapa mnanipa wivu usioelezeka. i can't write mashairi to save my life wakati nyie mnamwagika tuu.
kweli kila mtu ana uwezo wake.

Blaine kila safari huanza n ahatua moja..................anza utafika tu
 
Last edited by a moderator:
mwanaume kusimama, miguu yote mitatu,
mmoja wa kwake mamaa, miwili ni ya viatu,
kwake usikae hama, mpende kwa wote utu,
mwanaume kusimama, heshima kujiletea.
[MENTION]
Mentor[/MENTION] you really need a protege.............
 
Shair zuri, ila litume BBC watakupa pesa, jf kuna fan nyingine.:becky::becky::becky::becky::becky:
 
hahaha,na umejuaje? sina banaa ,bado naangaza angaza tu. lo! balaa ruta nakwambia ,,
 
wabohaki,kaka Ruta
Nawasalimu wa kunyumba​
uanamume ndio utata​
mengineyo ni viambata.

sio gari unalobuluta
wala ghorofa yako nyumba
au wangapi umewapata​
 
Mwanaume ni title ya kuwea kufanya kitu. Hata wanawake wakishandana kidogo huwa wanasema nani mwanaume hapa atakayeweza kufanya hili au lile.
 
hahaha,na umejuaje? sina banaa ,bado naangaza angaza tu. lo! balaa ruta nakwambia ,,

wahida mchagua nazi sana huishia kuambulia koroma............
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume ni title ya kuwea kufanya kitu. Hata wanawake wakishandana kidogo huwa wanasema nani mwanaume hapa atakayeweza kufanya hili au lile.

Sir R Baadhi ya vitu siyo vyote.....vingine ni kababu.............
 
Last edited by a moderator:
wabohaki,kaka Ruta
Nawasalimu wa kunyumba

uanamume ndio utata
mengineyo ni viambata.

sio gari unalobuluta
wala ghorofa yako nyumba
au wangapi umewapata

Sanda Matuta.......................au wangapi wamekupata......
 
Last edited by a moderator:
Shair zuri, ila litume BBC watakupa pesa, jf kuna fan nyingine.:becky::becky::becky::becky::becky:

KIDUDU Ushauri mwema tatizo sina kiu ya faranga.......................napenda kujitolea tu........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…