Mwanaume wa hivi nimsaidieje?

Mwanaume wa hivi nimsaidieje?

Kwa hiyo sasa unalazimisha kugongwa sio?..unataka uende kwao? Utalala wapi? Si mtalala pamoja au utamkwepa? Unadhani hatujui mambo ya semina sisi? Ushagongwa na ushakimbiwa ndio maana unapagawa! Sijui mpoje wanawake wepesi kuvua vua vyupi!

kwao wapi kwao ni Tanzania na mi ni mtanzania so nina kwetu siwezi lala kwao wala kwake. kwa sasa sipo Tanzania. nigongwe nichanganyikiwe kwa lipi kuna ajabu gani kwan?i kukogwa hakuwezi kunifanya nipagawe hata siku moja ningepagawa ningeshamfata siku nyingi wala siingekua kuuliza huku kama huna la kuniambia nyamaza tu
 
Wewe ndie unayepaswa kusaidiwa kwani mwenzio alikuwa anatafuta pa kutolea kiu yake kipindi mkiwa semina halafu wewe unataka kujenga kibanda!! Unataka mkewe amuweke wapi!!???

Aiseeee......
 
Isije ikawa yeye mlivyokutana aliita ''one night stand'' na ikawa ndo mwisho wa uhusiano wenu.
mi naona ulivyomalizia kwenye post yako uko sahihi.
 
Du wewe ni mvumilivu. Mie ningesham-delete kitambo...communication ni kitu muhimu kwenye mahusiano and it has to be both ways....mpende akupendaye asiyekupenda tupa kule...
 
Title ingekuwa "...mnanisaidiaje?" Na sio mwanaume wa hivi nimsaidiaje. Maana sioni sehemu ambayo huyo mwanaume anahitaji msaada au hata kuonesha dalili za kuhitaji msaada.
Sasa wewe usaidiweje? Naona wadau weshakuambia ni ufanye au/na nini usifanye. Kuna mwanaume aliniambiaga kuwa kuna wakati wanaume hutongoza just because they are expected to do so. So be careful
 
If you love someone real real Huwezi amka ukaoga ukatoka usimsalimie mpenzi wako. Yaweza tokea Siku. Moja ila haiwezi kuwa Tabia!

Usikurupuke! Fanya utafit uwe na uhakika! Na wewe Piga Kimya week uone? Hatoamka msanii huyo Alikuwa tu anakutumia dada yangu! Pole!
 
Title ingekuwa "...mnanisaidiaje?" Na sio mwanaume wa hivi nimsaidiaje. Maana sioni sehemu ambayo huyo mwanaume anahitaji msaada au hata kuonesha dalili za kuhitaji msaada.
Sasa wewe usaidiweje? Naona wadau weshakuambia ni ufanye au/na nini usifanye. Kuna mwanaume aliniambiaga kuwa kuna wakati wanaume hutongoza just because they are expected to do so. So be careful

........ Kaunga!!!! 😉

Mimi na Swahiba yangu, mstaafu Dark City husoma katikati ya mistari kesi kama hizi, kisha hujiuliza "hawa vijana wa kisasa hufikiria nini?!...."

Hebu msome mleta mada hapa;
.... yeye ndie aliniapproach kwakuwa sikua na mtu na niliona kijana ana sifa nnazozitaka nikamkubalia.

Hitimisho langu ni kwamba, siku hizi kuna bidhaa nyingi ambazo ni disposable. Cha kujiuliza ni, NINI THAMANI ya "bidhaa" hiyo kwa wakati fulani, kisha baada ya matumizi 'tupwa kule!'....?!!!

Cc; BAK, King'asti.
 
Last edited by a moderator:
Mwambie akutumie picha ya chumbani kwake, ukiona vivyupi au sidiria vimekaa hovyohovyo ujue we wa tatu. Hahaha
 
Hahaha swahiba hata sijui nasemaje. Kuwa msukule napo kuna raha yake. Tunasahu kazi ya moyo ni kusukuma damu tunatia ufundi wa kupenda.

Kaka wa watu atakuwa yuko busy kweli bwana. Sasa huyu nae kaonyeshwa meno tu hajajua itifaki kajitupa mzima mzima. Enzi zetu una 'tamkiwa' mwaka mzima ndio unaelewa. Warranty 36 moons.
........ Kaunga!!!! 😉

Mimi na Swahiba yangu, mstaafu Dark City husoma katikati ya mistari kesi kama hizi, kisha hujiuliza "hawa vijana wa kisasa hufikiria nini?!...."

Hebu msome mleta mada hapa;

Hitimisho langu ni kwamba, siku hizi kuna bidhaa nyingi ambazo ni disposable. Cha kujiuliza ni, NINI THAMANI ya "bidhaa" hiyo kwa wakati fulani, kisha baada ya matumizi 'tupwa kule!'....?!!!

Cc; BAK, King'asti.
 
Last edited by a moderator:
Mbona kama uliisha achwa tangu semina ilipomalizika?
 
Isije ikawa yeye mlivyokutana aliita ''one night stand'' na ikawa ndo mwisho wa uhusiano wenu.
mi naona ulivyomalizia kwenye post yako uko sahihi.
sitoagi one night stand ukiipata basi umeisotea zaidi ya miezi miwili au mitatu na niwe nimekupenda kweli vinginevyo hupati.yeye hakupata maana ilikua muda mfupi mno
 
Back
Top Bottom