Mwanaume wa hivi nimsaidieje?

Mwanaume wa hivi nimsaidieje?

Niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye tuko nchi tofauti,tulikutana kwenye semina moja na yeye ndie aliniapproach kwakuwa sikua na mtu na niliona kijana ana sifa nnazozitaka nikamkubalia.

Chakushangaza tangu arudi nchini kwake tunawasiliana mara chache sana na mara chache hizo mie ndie na insist mawasiliano kila mara yaani mtu anaamka tangu asubuhi hadi jioni hakuna mawasiliano ukiandika hata 'mambo' tu itajibiwa after 24hrs ukiuliza shida ni nini?

Anakwambia niko sawa tu ni ubize. nilikuwa nimepanga safari niende kumsalimia ila kwa tabia yake hii nina mashaka, am calling off this blind relationship.

Wadau nisaidieni nitaua nimekomea hapo maana ananitesa tu
Jamani umeniumiza roho.... sijui kwanini kakufanyia ukuda. Kama vipi hamia kwangu nikupe liwazo la moyo
 
Huyo shida yake ilikuwa ni kukugegeda tu. Kama alifanikiwa kukugegeda wakati wa semina basi ujue lengo lake lilishafikiwa na hana muda tena na wewe. Kama hukumvulia pichu pia jua kuwa hana malengo yoyote ya kudumu na wewe tayari ana gegedo lake huko alipo.
 
Una miaka mingapi? Tatizo lipo wapi hapo, ipo wazi jamaa anamajukumu kwa mtu wa kwao. Tafuta mwingine.
 
Dada ushauri wangu njoo niliko kama uko Europe nitumie no yako kama uko kweli
 
Niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye tuko nchi tofauti,tulikutana kwenye semina moja na yeye ndie aliniapproach kwakuwa sikua na mtu na niliona kijana ana sifa nnazozitaka nikamkubalia.

Chakushangaza tangu arudi nchini kwake tunawasiliana mara chache sana na mara chache hizo mie ndie na insist mawasiliano kila mara yaani mtu anaamka tangu asubuhi hadi jioni hakuna mawasiliano ukiandika hata 'mambo' tu itajibiwa after 24hrs ukiuliza shida ni nini?

Anakwambia niko sawa tu ni ubize. nilikuwa nimepanga safari niende kumsalimia ila kwa tabia yake hii nina mashaka, am calling off this blind relationship.

Wadau nisaidieni nitaua nimekomea hapo maana ananitesa tu

you just leave him, wait for a new gift
 
mara nying xna wapenz wakiwa mbali hupunguza radha ya mapenzi. Umesema yupo nchi nyingine so tayari hilo ni tatizo kubwa mpenz wako kuwa nje ya nchi kwa muda mrefu. Its too much. Tafuta tu mwingine
 
Back
Top Bottom