Mwanaume wa hivi nimsaidieje?

Mwanaume wa hivi nimsaidieje?

Wewe ndiye unaeteseka.

Sasa unataka kumsaidia nini?
 
Hayo mambo ya distance relationship yalishaishaga na ulimwengu wa Nokia tochi, dunia hii ya smartphone eti wewe upo kusini mpenzi kaskazini aaah wapi!
 
Niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye tuko nchi tofauti,tulikutana kwenye semina moja na yeye ndie aliniapproach kwakuwa sikua na mtu na niliona kijana ana sifa nnazozitaka nikamkubalia.

Chakushangaza tangu arudi nchini kwake tunawasiliana mara chache sana na mara chache hizo mie ndie na insist mawasiliano kila mara yaani mtu anaamka tangu asubuhi hadi jioni hakuna mawasiliano ukiandika hata 'mambo' tu itajibiwa after 24hrs ukiuliza shida ni nini?

Anakwambia niko sawa tu ni ubize. nilikuwa nimepanga safari niende kumsalimia ila kwa tabia yake hii nina mashaka, am calling off this blind relationship.

Wadau nisaidieni nitaua nimekomea hapo maana ananitesa tu

there you have it all..ukifanya hivyo utamsaidia sana maana atapata wasaa wa kuishi vizuri na familia yake bila presha za calls toka kwa mchepuko
 
Wewe ndie unayepaswa kusaidiwa kwani mwenzio alikuwa anatafuta pa kutolea kiu yake kipindi mkiwa semina halafu wewe unataka kujenga kibanda!! Unataka mkewe amuweke wapi!!???
Umemjibu vzuri, hii tabia ya kuvua vua chupi haraka kwa watu ambao hamuwajui vizuri muache kabisa nyinyi dada zetu, umemshobokea jamaa kaku *** sasa akili yako haitaki kuamini kama ulikuwa unatumiwa.
 
Urafiki labda uliuchukulia kwa pupa bila kujua lengo la mwenzio.It sis very dangerous to fall in love with someone without knowing what he/she think about you.Anyway ww ndo usaidiwe wala si yeye badili tittle ya post hii huo ni ushauri wangu labda iwe jamani mtanisaidiaje
 
Niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye tuko nchi tofauti,tulikutana kwenye semina moja na yeye ndie aliniapproach kwakuwa sikua na mtu na niliona kijana ana sifa nnazozitaka nikamkubalia.

Chakushangaza tangu arudi nchini kwake tunawasiliana mara chache sana na mara chache hizo mie ndie na insist mawasiliano kila mara yaani mtu anaamka tangu asubuhi hadi jioni hakuna mawasiliano ukiandika hata 'mambo' tu itajibiwa after 24hrs ukiuliza shida ni nini?

Anakwambia niko sawa tu ni ubize. nilikuwa nimepanga safari niende kumsalimia ila kwa tabia yake hii nina mashaka, am calling off this blind relationship.

Wadau nisaidieni nitaua nimekomea hapo maana ananitesa tu

Dada huyo MTU ukimchunguza utamgundua kuwa kuna mambo alikuficha Kwa kuwa alikutamani na alitaka kampani yako kule ugenini anaonekana ana Mke wake hivyo anaogopa kukwambia ila hapo jiongeze kiakili na ufanye maamuzi ya kimpotezea uendelee na mambo yako naamini nchini kwako wapo wengi tuu wanaokufaa kimaisha
 
We nawe ni la kutuambia sisi nalo hilo semina watu wanakula vyao wanatembea unataka nn tena
 
Lila na fila hazitangamani

Hebu fanya masepeo haraka mno maana huwezi kusubiri feri uwanja wa ndege...

Nilipoona mat8 nimejikuta nakaribia kufananisha jina na Watu8, yaani nimei-upside down ile m, sema nikakosa u baada ya t.
 
Last edited by a moderator:
Niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye tuko nchi tofauti,tulikutana kwenye semina moja na yeye ndie aliniapproach kwakuwa sikua na mtu na niliona kijana ana sifa nnazozitaka nikamkubalia.

Chakushangaza tangu arudi nchini kwake tunawasiliana mara chache sana na mara chache hizo mie ndie na insist mawasiliano kila mara yaani mtu anaamka tangu asubuhi hadi jioni hakuna mawasiliano ukiandika hata 'mambo' tu itajibiwa after 24hrs ukiuliza shida ni nini?

Anakwambia niko sawa tu ni ubize. nilikuwa nimepanga safari niende kumsalimia ila kwa tabia yake hii nina mashaka, am calling off this blind relationship.

Wadau nisaidieni nitaua nimekomea hapo maana ananitesa tu

Kwa thredi hii tayari nshajua umri wako.
 
Sometimes wanamume huwa tunatongoza ili tusisahau maana ukikaa muda mrefu bila kutongoza unaweza kupungukiwa mbinu au ujasiri wa kutongoza ,sasa mwenzio alikuwa anafanya mazoezi bibie ukachukulia mechi! kama wadau walivyosema tupa kule kwani kuanza upya si ujinga.
 
Kwa mujibu wa maelezo yako, wewe ndio unahitaji msaada na sio huyo mwanaume kwani alikwambia anataka msaada wako? Jiongeze mwenyewe hapo ni end of the road sasa unataka uende wapi?
 
Niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye tuko nchi tofauti,tulikutana kwenye semina moja na yeye ndie aliniapproach kwakuwa sikua na mtu na niliona kijana ana sifa nnazozitaka nikamkubalia.

Chakushangaza tangu arudi nchini kwake tunawasiliana mara chache sana na mara chache hizo mie ndie na insist mawasiliano kila mara yaani mtu anaamka tangu asubuhi hadi jioni hakuna mawasiliano ukiandika hata 'mambo' tu itajibiwa after 24hrs ukiuliza shida ni nini?

Anakwambia niko sawa tu ni ubize. nilikuwa nimepanga safari niende kumsalimia ila kwa tabia yake hii nina mashaka, am calling off this blind relationship.

Wadau nisaidieni nitaua nimekomea hapo maana ananitesa tu

huyo siyo wa kwako...kama vipi potezea
 
sasa hapo wakusiaidiwa ni mwanaume au wewe unaehitaji mawasiliano?!
 
Niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye tuko nchi tofauti,tulikutana kwenye semina moja na yeye ndie aliniapproach kwakuwa sikua na mtu na niliona kijana ana sifa nnazozitaka nikamkubalia.

Chakushangaza tangu arudi nchini kwake tunawasiliana mara chache sana na mara chache hizo mie ndie na insist mawasiliano kila mara yaani mtu anaamka tangu asubuhi hadi jioni hakuna mawasiliano ukiandika hata 'mambo' tu itajibiwa after 24hrs ukiuliza shida ni nini?

Anakwambia niko sawa tu ni ubize. nilikuwa nimepanga safari niende kumsalimia ila kwa tabia yake hii nina mashaka, am calling off this blind relationship.

Wadau nisaidieni nitaua nimekomea hapo maana ananitesa tu

my critical analysis.
1- upo na kijana ...to me sounds that wewe ni mzee...obvious kama huna pesa vijana huwa hawapendi kukerwa na wazee
2- mulikutana semina...to me ilikuwa ni emergency meeting with emergency solutions to emergency problems therefore everything has to be and remain an emergency thing.
3- yeye ndio alikuapproach...hivyo hivyo yeye ndio anatakiwa awe anakupigia simu ...kumpigia au kumtext wewe hicho ni kiherehere...na uwe makini usije ukapata mimba..refer rahis wetu alisema wanapata mimba kwa viherehere vyao.
4-kwakuwa hukuwa na mtu...kijana aliona wewe ni loose ball..unazagaazagaa tuu na wenzako wapo na mabwana zao akaamua kuomba goma na wewe ukampa kwa kushoboka...hiyo huitwa 1-night stand...munapiga show ukumbi unavunjwa inabakia kumbukumbu vichwani mwenu tuu na hisia mioyoni mwenu.
5-kijana anasifa zote unazozitaka.....hivi uliwahi kujiuliza kama na wewe una sifa zote kijana anazozitaka?...yes..ulikuwa nazo za show ya usiku mmoja...na sio za kuishi naye milele.
6- ulikuwa umepanga safari uende kumsalimia?...ahahaha kwanini usisubiri semina nyingine uende mkakutane semina na msalimiane semina?
7- wadau nisaidieni?....msaada gani unahitaji?...nauli ya kwenda au?

sorry...it hurts...inaumaaaa...poleeeeee.
 
Niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye tuko nchi tofauti,tulikutana kwenye semina moja na yeye ndie aliniapproach kwakuwa sikua na mtu na niliona kijana ana sifa nnazozitaka nikamkubalia.

Chakushangaza tangu arudi nchini kwake tunawasiliana mara chache sana na mara chache hizo mie ndie na insist mawasiliano kila mara yaani mtu anaamka tangu asubuhi hadi jioni hakuna mawasiliano ukiandika hata 'mambo' tu itajibiwa after 24hrs ukiuliza shida ni nini?

Anakwambia niko sawa tu ni ubize. nilikuwa nimepanga safari niende kumsalimia ila kwa tabia yake hii nina mashaka, am calling off this blind relationship.

Wadau nisaidieni nitaua nimekomea hapo maana ananitesa tu

Kama kusoma hujui hata picha huoni?
 
Back
Top Bottom