Title ingekuwa "...mnanisaidiaje?" Na sio mwanaume wa hivi nimsaidiaje. Maana sioni sehemu ambayo huyo mwanaume anahitaji msaada au hata kuonesha dalili za kuhitaji msaada.
Sasa wewe usaidiweje? Naona wadau weshakuambia ni ufanye au/na nini usifanye. Kuna mwanaume aliniambiaga kuwa kuna wakati wanaume hutongoza just because they are expected to do so. So be careful
........ Kaunga!!!! 😉
Mimi na Swahiba yangu, mstaafu Dark City husoma katikati ya mistari kesi kama hizi, kisha hujiuliza "hawa vijana wa kisasa hufikiria nini?!...."
Hebu msome mleta mada hapa;
Hitimisho langu ni kwamba, siku hizi kuna bidhaa nyingi ambazo ni disposable. Cha kujiuliza ni, NINI THAMANI ya "bidhaa" hiyo kwa wakati fulani, kisha baada ya matumizi 'tupwa kule!'....?!!!
Cc; BAK, King'asti.
makubwaaa sijasema natafuta ngoja nipumue kwanza sitaki maumivu
nikusahihishe tu sikuwa desperate huwa naacha vitu viende taratibu kama ipoipo tu ila huyu mwenendo wake siulewi inabidi tu niachie ngazi,afu kwenye ubinti nishatoka nina umri wakutosha kabisaHahahah, so unapumua baada ya non existing relationship.
Binti stop kidding yourself. Just do your thing na man of your life atakuja. Inaonesha ulikuwa so desparate hadi ukamscare away huyo kijana mwanzako.
Wasikilize wakubwa wanavyokushauri.
Mbu nice to see you again, mnahitajika kutoa darasa sana kwa vijana wa sasa
nikusahihishe tu sikuwa desperate huwa naacha vitu viende taratibu kama ipoipo tu ila huyu mwenendo wake siulewi inabidi tu niachie ngazi,afu kwenye ubinti nishatoka nina umri wakutosha kabisa
nikusahihishe tu sikuwa desperate huwa naacha vitu viende taratibu kama ipoipo tu ila huyu mwenendo wake siulewi inabidi tu niachie ngazi,afu kwenye ubinti nishatoka nina umri wakutosha kabisa
Sawa woman, title yako inaonesha you badly want the man.
Post niliyokuqoute inaonesha jinsi gani umeumizwa na ukimya wake.
Kuanzisha thread kwa minor and obvious issue kama hii inaongea mengi
So connecting the dots kwa watu wazima kama sisi we can smell desperation
Again you are only kidding yourself, so stop doing that it will help you a lot
be patient then fanya research...huwez jua may be anakutega?
Mimi sioni ubaya wewe kuwa desperado...kwani nani hahitaji mwenza? Tumia tu njia sahihi, kama hakujitaji wala usilazimishe...your man is somewhere, anakusubiri tu!nikusahihishe tu sikuwa desperate huwa naacha vitu viende taratibu kama ipoipo tu ila huyu mwenendo wake siulewi inabidi tu niachie ngazi,afu kwenye ubinti nishatoka nina umri wakutosha kabisa
dada ebu mwaga apa sifa unazoztaka kama alzonazo huyo jamaa waje hapa uchague,,mbona bongo tpo wakila aina na kila size kuanzia nch mbili ad kumi na tisa,,