mat8
Member
- Nov 11, 2013
- 95
- 35
- Thread starter
- #61
Mimi sioni ubaya wewe kuwa desperado...kwani nani hahitaji mwenza? Tumia tu njia sahihi, kama hakujitaji wala usilazimishe...your man is somewhere, anakusubiri tu!
Nasema tena, sioni ubaya mtu kuwa desperate ili apate mtu wa kumpenda.
Tatizo wabongo neno desperado wanalitafsiri vibaya kama vile nilikuwa king'ang'anizi au namsumbua sana kumbe wala