Mwanaume usikubali kulala mbali na mkeo-ukweni

Mwanaume usikubali kulala mbali na mkeo-ukweni

Hii ishu imenikumbusha kuna kipindi nilikua nimepanga. Kwenye hiyo compaund tuko wapangaj sita ila ukija huwez kuta mtu kakaa nje. Kila mtu na mambo yake. Mwenye nyumba hakai hapo ila ameacha vyumba vuwili self kwa ajili ya dharura. Akija mjin kwa biashara zake au watoto wake wanalala pale. Kuna mtoto wa mwenye nyumba wa kike (ameolewa) akaja mjin kwenye semina akalala pale siku kadhaa. Siku ya mwisho akaingiza kidume ndani kikapiga show mpaka asubuh. Usiku hizo kelele ilikua ni balaa. Kumbe walikulia pale ila wakahama baadae kwa sababu ya biashara
 
u
Mkuu ukitaka kumchunga mwanamke walai utakufa siku si zako kabisa...labda umfungie chumbani ndani maana hata akiwa kazini ipo siku ataingia katika majribu...Hii ni true story mi nakumbuka nilipataga safar ya nje ya nje nilenda na mfanyakazi mwenzangu ambaye ni mke wa mtu hatukuwahi kuwa na mazoea kiivyo kabla ya hiyo safari na ni mke wa mtu...baada tu ya kutua kwenye hiyo nchi ya watu mama alinilitea mambo ya ajbu mno na kunieleza siri mingi za mume wake....Hakika kama si hofu ya Mungu ningemfanya yule mama chochote nilichotaka imagine hadi alikuja kulala kwenye room yangu usiku kucha...So omba Mungu akupe mke mwenye hofu ya Mungu... ila si wale wanaona kichaa yupo uchi kisa ana maumbile makubwa anawakwa tamaa hapana.
Hapo umesema kweli mkuu tena umeyakuna maneno ya chunguni kabisa bila kuwa na hofu ya Mungu uzinzi nje nje baba
 
Mkuu ukitaka kumchunga mwanamke walai utakufa siku si zako kabisa...labda umfungie chumbani ndani maana hata akiwa kazini ipo siku ataingia katika majribu...Hii ni true story mi nakumbuka nilipataga safar ya nje ya nje nilenda na mfanyakazi mwenzangu ambaye ni mke wa mtu hatukuwahi kuwa na mazoea kiivyo kabla ya hiyo safari na ni mke wa mtu...baada tu ya kutua kwenye hiyo nchi ya watu mama alinilitea mambo ya ajbu mno na kunieleza siri mingi za mume wake....Hakika kama si hofu ya Mungu ningemfanya yule mama chochote nilichotaka imagine hadi alikuja kulala kwenye room yangu usiku kucha...So omba Mungu akupe mke mwenye hofu ya Mungu... ila si wale wanaona kichaa yupo uchi kisa ana maumbile makubwa anawakwa tamaa hapana.

mkuuu hiyo zaidi ya YUSUPH ULIWEZA KWELI mimi nakula mhhhhhh pagumu hapo labda niwe nalikemea pepo usiku kucha ULIWEZA KWELI DUUUUUH
 
jamaa kila siku anasogeza siku mbele sasa kama akikutana na haya kiruuuuu ni balaaa
Dawa yake ndogo mkuu mwambie umeoteshwa,"mwaka ujao tarehe kama ya leo utakuwa unafunga ndoa uone atakujibu vipi?
Kama hatasema mke wa mtu huwa haolewi kwani nimepanga mwezi wa nne nilete posa kwenu.
 
Hii ishu imenikumbusha kuna kipindi nilikua nimepanga. Kwenye hiyo compaund tuko wapangaj sita ila ukija huwez kuta mtu kakaa nje. Kila mtu na mambo yake. Mwenye nyumba hakai hapo ila ameacha vyumba vuwili self kwa ajili ya dharura. Akija mjin kwa biashara zake au watoto wake wanalala pale. Kuna mtoto wa mwenye nyumba wa kike (ameolewa) akaja mjin kwenye semina akalala pale siku kadhaa. Siku ya mwisho akaingiza kidume ndani kikapiga show mpaka asubuh. Usiku hizo kelele ilikua ni balaa. Kumbe walikulia pale ila wakahama baadae kwa sababu ya biashara
Jamani msiache kukumbuka wimbo wa Diamond usemao, kuchapiwa ni siri ya ndani, hayo ni mambo ya kawaida kabisa kila mtu anatafuta fursa akiipata anaitumia vilivyo...awe mwanamke ama dume wote ndugu moja kwa hiyo ni kumuomba Mungu akuepushe na tamaa iliyo mbele yako na wewe uchukue hatua yakuikataa hali hiyo utaweza
 
Pengine tungemuuliza je mmewe ana tatizo lolote la nguvu za kiume hadi mwanamke adanganye kiasi hicho tena nyumbani kwao aisee mwanamke huyu ana roho ngumu ka ngozi ya mamba

TOA NGUVU ZA KIUME SIO HOJA maana wapo watu waume zao hawajiwezi kabisa lakini wametulia na ndoa zao HOFU YA MUNGU TU MKUU
 
Dawa yake ndogo mkuu mwambie umeoteshwa,"mwaka ujao tarehe kama ya leo utakuwa unafunga ndoa uone atakujibu vipi?
Kama hatasema mke wa mtu huwa haolewi kwani nimepanga mwezi wa nne nilete posa kwenu.
ha ha ha swa mkuu
 
hiyo ni aibu ya karne huyo mwanamke asisamehewe kwa namna yoyote
 
Hii kali aisee utadhani ni hadithi tu, mwanamke hata haya nyumbani kwao hana?

Matatizo ya kuoa mke asiyekupenda haya, kisa unampenda sana basi unamshawishi kwa nguvu yoyote hata iwe gharama vipi ndio hivyo tena
 
Sasa ndugu zangu wanaume kazi kwetu kwa wale mliooa tayari kazi kwenu, sisi wengine tunajifunza kwanza.
Pamoja na kujifunza kwako kuna siku nawe utaoa, you never know who you marry, sometimes hawa wake/waume wanabadilika muda wowote tu. Ndio sababu wanasema unapooa/kuolewa mshirikishe Mungu.
 
kuchepuka ni tabia ya mtu hata ukilala naye au usipolala naye, atatafuta tuu njia ya kutimiza haja zake
 
Asante kwa taarifa na angalizo ila mimi binafsi siwezi kulala ukweni labda iwe hakuna namna kabisa.
 
Kila nikisoma visa vya wanandoa huku, nakata tamaa kabisa ya kuoa, last week nilikuwa nataka niongee na uncle wangu kuwa nataka kupeleka barua ya posa, ila nilikuwa nasagura sagura JF nikakutana na vitimbwi vya wanandoa hapa MMU nikahairisha....
 
Back
Top Bottom