Mwanaume usikubali kulala mbali na mkeo-ukweni

Mwanaume usikubali kulala mbali na mkeo-ukweni

Mkuu kama mwanamke hakukubali kosa we umepataje full story? Hasa kuanzia kwenye kumwambia boy wake siku ya kwenda mpaka kufungua mlango…… au huyo mwanamke ndo kakupa hiyo story?
 
Wanawake wote akili zao mmoja (including my mom, sorry mom to add you here, ndio ukweli huo), isipokuwa mmoja tu, Mariamu mama yake Yesu! She was different in all aspect.
 
nilkuwa na sababu billion za kuoa.... nahisi sasa hivi zimebaki 1000
 
Mkuu ukitaka kumchunga mwanamke walai utakufa siku si zako kabisa...labda umfungie chumbani ndani maana hata akiwa kazini ipo siku ataingia katika majribu...Hii ni true story mi nakumbuka nilipataga safar ya nje ya nje nilenda na mfanyakazi mwenzangu ambaye ni mke wa mtu hatukuwahi kuwa na mazoea kiivyo kabla ya hiyo safari na ni mke wa mtu...baada tu ya kutua kwenye hiyo nchi ya watu mama alinilitea mambo ya ajbu mno na kunieleza siri mingi za mume wake....Hakika kama si hofu ya Mungu ningemfanya yule mama chochote nilichotaka imagine hadi alikuja kulala kwenye room yangu usiku kucha...So omba Mungu akupe mke mwenye hofu ya Mungu... ila si wale wanaona kichaa yupo uchi kisa ana maumbile makubwa anawakwa tamaa hapana.
Mungu asaidie aisee........hawa viumbe akili zao wanazijua wenyewe.
 
mie ningemuacha hukohuko kabisaaa
 
Ishu sio ukweni au kalala nae pa1. Kama ni muhuni ni muhuni tu.
 
Kila nikisoma visa vya wanandoa huku, nakata tamaa kabisa ya kuoa, last week nilikuwa nataka niongee na uncle wangu kuwa nataka kupeleka barua ya posa, ila nilikuwa nasagura sagura JF nikakutana na vitimbwi vya wanandoa hapa MMU nikahairisha....
Unless kama huyo mchumba wako ana matatizo yake basi usimuoe. Ila sio kwa sababu ya story za maisha ya watu, ndo ukaamua kumuhukumu binti wa watu kwa makosa ya watu wengine. Kama una nia ya dhati ya kuoa, kaoe tu. Hakuna maisha marahisi na wala ndoa zote hazilingani, so katengeneze ya kwako unayoona itakufaa zaidi

Ni kama tunavyoanza kusoma, Kila siku tunaambiwa mtihani wa darasa la 7 mgumu huo, watu wanafelije... but still tulienda, tukasoma kwa bidii na kwa neema ya Mungu tukafaulu. Vivyo hivyo na kwenye mitihani ya form 2, form 4, tena ukifika A-level na chuo ndo kuna masomo utatishwa usiyachukue kisa watu wengi wanafeli,, but mwisho wa siku tuliyachukua na here we are now by the Grace of God. Tungesikiliza testimonies za walioshindwa na vitisho vya watu, basi hata shule tusingeenda kabisa. Kama unawiwa kuoa, oa tu mpendwa. Omba tu Mungu akupe mke mwema wako pamoja na hekima, maarifa na uvumilivu katika ndoa. Zile changamoto / mabaya unayoyasikia kwa watu kuhusu ndoa, usiyagnore mazima bali yafanyie kazi ili yasije yakaathiri ndoa yako pia na hata yakikukuta utajua utokee mlango upi. Ni ushauri tu
 
Jana baada ya kutoka kazini, nilikuta ugomvi kwa jirani yangu ambaye alikuwa ameenda likizo na mkewe sasa wakati wanataka kurudi kazini ikabidi wapiti kwao mwanamke kuwasalimia, sasa zogozogo lilianza hapa, baada ya kufika kwao mwanamke, walikaribishwa vizuri na wakaoga, wakala na sasa ikafika zamu ya kwenda kupumzika.

Sasa mwanamke kumbe alikuwa ameshamtaarifu boyfriend wake wa siku nyingi hapo mtaani kwao kwamba nitakuja siku fulani, siku hiyo wakati wa kulala, mwanamke alikataa kulala na mumewe ndani ya nyumba yao binti (nyumba ya ba mkwe), eti akidai (mwanamke) kwamba siyo vizuri kulala pamoja eti yeye na mumewe kitanda kimoja kwenye nyumba ya baba yake, akihoji je, ikitokea "mwanaume akahitaji mchezo"?

Basi jamaa (mumewe) ikabidi awe mpole amruhusu mkewe akalale chumba kingine lakini ndani ya nyumba hiyo, sasa mkewe akatumia mwanya huo, kufungua mlango na kwenda kwa ex boyfriend wake wa muda mrefu, akarudi asubuhi ya saa 11 alfajiri.

Wakati anarudi akakutana na baba yake nje, ndo baba yake akaanza kumuuliza anatoka wapi usiku huo yeye peke yake huku akihoji mume wake alipo! Kumbe wakati anamuhoji mkewe, mumewe alikuwa anasikia maana dirisha la chumba alicholala mumewe lipo upande wa getini, mke wake alishindwa kutoa majibu yoyote huku akiomba radhi kwa baba yake tena kwa sauti ya kunong'oneza sana.

Kumbe mumewe alisikia yote na alipoamka alikaribishwa chai akanywa na baadae akaomba kuondoka ili kuwahi kazi akidai likizo yake ilikuwa imekwisha.Wakaondoka pamoja na mkewe, sasa kufika nyumbani ndo maswali yakaanza na ugomvi mkubwa umetokea jana, na ikabidi mwanaume ampe nauli mkewe arudi kwao kwanza ili atafakari hatua nzuri za kuchukua dhidi yake.

Kiufupi, Mwanamke hakukubali kosa, alikataa ila mmewe alipomuuliza swali aliloulizwa na baba yake juzi na jibu ambalo yeye alimjibu baba yake ndipo mwanamke akaishiwa nguvu, mumewe akamwambia nguo aliyovaa siku hiyo ya alfajiri na baba yake alivyokuwa amevaa siku hiyo ya alfajiri.

Sasa ndugu zangu wanaume kazi kwetu kwa wale mliooa tayari kazi kwenu, sisi wengine tunajifunza kwanza.
mimi nilipoenda ukweni mbona nilipewa kitanda na nililala na mke wangu na mchezo wa ukweni mbona ulinoga tu!!!
 
Dah aisee balaa jamaa alienda kukumbushia ndio mana kuoa mwanamke ambae sio bikra tabu sana lazima unakua unaoa dem wa mtu
sasa bikra utamwona wapi wkt gata wewe sio bikra kifaa chako kisha tumika mara nyingi tu?
 
Mtu mwaminifu katika maisha yako ni mama yako tu mzazi. Nashangaa sana watu wanaokimbilia kufunga ndoa pasipo kufahamiana kwanza tabia kwa undani. Hata hivyo jamaa ni dhaifu sana na hiyo ya kumrudisha nyumbani ni ngojera tu kwani alitakiwa amkabidhi hapo hapo kwa wazazi wake.
 
Back
Top Bottom