Mwanaume usikubali kulala mbali na mkeo-ukweni

Mwanaume usikubali kulala mbali na mkeo-ukweni

Hawa viumbe ndio wamesababisha drama nyingi na kulaaniwa kwa ulimwengu. Au hii ndio sababu ya GFM jamii zetu zilikua zinawafanyia enzi hizo. Any way hawa pia ni mama zetu na mama wa watoto, tutafanyeje sasa[emoji22]
 
Duuu jamaa mvumilivu aisee unakubali kulala peke yako tena ukweni kana kwamba mkeo ni mgonjwa????? utetezi wa mwanamke ulikuwa dhaifu sana jamaa nae ni zoba wewe unakubali mkeo akudanganye mchana kweupe namna hiyo nawe unakubali duuu hii nayo ya karne, mimi nikienda kusalimia ukweni nikiwa na mke wangu hiyo ndo fursa nzuri yakudhihirisha udume wangu wakwe zangu lazima wajue mkwe wao sio zoba wala nini nachukua mpini namwekea my wife mapemaaaaaaaa wakisikilizia natwanga hadi raha afu kesho asubuhi mama mkwe anaamka mapema kuja kutusalimia baadae Baba mkwe nae anakuja ikifika mda fulani hivi shemezi zangu wanaagizwa na mzee wao wachinje lile beberu apikiwe mkwe ale na binti yangu unaona hapo sasa wewe unakubali kupigwa changa la macho unakubali hahahahahahahaha kalagha baho
 
Jamani msiache kukumbuka wimbo wa Diamond usemao, kuchapiwa ni siri ya ndani, hayo ni mambo ya kawaida kabisa kila mtu anatafuta fursa akiipata anaitumia vilivyo...awe mwanamke ama dume wote ndugu moja kwa hiyo ni kumuomba Mungu akuepushe na tamaa iliyo mbele yako na wewe uchukue hatua yakuikataa hali hiyo utaweza

Ushauri wako uliotoa ndio uzingatiwe na wote lakini ukiamini ya Diamond yanaweza kukufika usiyotarajia.Wanasema mke wa mtu sumu.Amekuwakisha tamaa ughaibuni ibilisi akashinda ukatenda na kufurahia na kukuta mmenganganiana. Ehee mmewe yupo mbali kuwanasua na huko sangoma hawapo unafanyaje? Wazeni mbali wanaume wengine wamewatega wake zao bila wao kujijua hivyo wazeni kikubwa zaidi. Hayo ya kuchapiwa ni kwa michepuko na sio wake za watu.
 
Jana baada ya kutoka kazini, nilikuta ugomvi kwa jirani yangu ambaye alikuwa ameenda likizo na mkewe sasa wakati wanataka kurudi kazini ikabidi wapiti kwao mwanamke kuwasalimia, sasa zogozogo lilianza hapa, baada ya kufika kwao mwanamke, walikaribishwa vizuri na wakaoga, wakala na sasa ikafika zamu ya kwenda kupumzika.

Sasa mwanamke kumbe alikuwa ameshamtaarifu boyfriend wake wa siku nyingi hapo mtaani kwao kwamba nitakuja siku fulani, siku hiyo wakati wa kulala, mwanamke alikataa kulala na mumewe ndani ya nyumba yao binti (nyumba ya ba mkwe), eti akidai (mwanamke) kwamba siyo vizuri kulala pamoja eti yeye na mumewe kitanda kimoja kwenye nyumba ya baba yake, akihoji je, ikitokea "mwanaume akahitaji mchezo"?

Basi jamaa (mumewe) ikabidi awe mpole amruhusu mkewe akalale chumba kingine lakini ndani ya nyumba hiyo, sasa mkewe akatumia mwanya huo, kufungua mlango na kwenda kwa ex boyfriend wake wa muda mrefu, akarudi asubuhi ya saa 11 alfajiri.

Wakati anarudi akakutana na baba yake nje, ndo baba yake akaanza kumuuliza anatoka wapi usiku huo yeye peke yake huku akihoji mume wake alipo! Kumbe wakati anamuhoji mkewe, mumewe alikuwa anasikia maana dirisha la chumba alicholala mumewe lipo upande wa getini, mke wake alishindwa kutoa majibu yoyote huku akiomba radhi kwa baba yake tena kwa sauti ya kunong'oneza sana.

Kumbe mumewe alisikia yote na alipoamka alikaribishwa chai akanywa na baadae akaomba kuondoka ili kuwahi kazi akidai likizo yake ilikuwa imekwisha.Wakaondoka pamoja na mkewe, sasa kufika nyumbani ndo maswali yakaanza na ugomvi mkubwa umetokea jana, na ikabidi mwanaume ampe nauli mkewe arudi kwao kwanza ili atafakari hatua nzuri za kuchukua dhidi yake.

Kiufupi, Mwanamke hakukubali kosa, alikataa ila mmewe alipomuuliza swali aliloulizwa na baba yake juzi na jibu ambalo yeye alimjibu baba yake ndipo mwanamke akaishiwa nguvu, mumewe akamwambia nguo aliyovaa siku hiyo ya alfajiri na baba yake alivyokuwa amevaa siku hiyo ya alfajiri.

Sasa ndugu zangu wanaume kazi kwetu kwa wale mliooa tayari kazi kwenu, sisi wengine tunajifunza kwanza.
huyo jamaa ana moyo sana, mimi ningekinukisha hapo hapo on the spot. yani hapo baba mkwe amekubali ujinga wa mwanae. ningekinukisha na huyo mke ningemuacha hapo hapo kwao akae kwanza anipe jibu la alikolala usiku. na nadhani hiyo ndio ingekuwa ntolee ....a.k.a baba jeny bye bye.
 
Mwanamke usimlinde wala kumchunguza siku yakijitokeza kama hayo toa nje anza maisha mapya
 
yani akimrudisha kwao atakuwa ajasovu tatzo ndo atakuwa kamrudisha ili match iendelee sku akijskia ku.... anaenda kwa njemba^_^
 
Mi ni mkristo ila kwenye swala la taraka nawaunga Waislam 100% kabisa na ndio style yangu itakavo kuwa. Nikusamehe kwani mi Yesu hakuna kofi la pili, toa wembe nitoe kisu.
 
Back
Top Bottom