Mwanaume ukiachana na mwanamke usirudiane tena

Mwanaume ukiachana na mwanamke usirudiane tena

Kama ninaowafahamu ni wa5 na unasema huna, basi ngoja nikalale.
[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tukalale wote auntie yangu
 
STRONG vs TRUE FEELING is a key to back and forth in any relationship. Hivyo, urahisi au ugumu wa kurudi utategemea jinsi mlivyokuwa mmeshibana kabla na hakuna jinai au ahadi ya kifo kama ukirudiana na mwenza wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Mimi ndo mana hata mazoea au salamu huwa staki

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi ila hapo kwenye salamu badilika coz maisha n zaidi ya r/ship kuna Leo na kesho ,kiburi + jeuri au dharau vinaweza kukukosesha mambo ya msingo,so its better km wanakutafuta kwa ajili ya kuwasiliana Normal tuu n vizur ukiwapa ushirikiano

From profile picture to proper future
 
Sasa salamu ya nini weng ndo huanza kutafta huruma, hata lolote likitokea ndo nikute ex walah ctaki hicho kitu

Back
Top Bottom