Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,522
How if wewe ndio haukuthamini hisia zake?Yeah...kama ww hukuthamini hisia zangu thats it
How if wewe ndio haukuthamini hisia zake?Yeah...kama ww hukuthamini hisia zangu thats it
Lakini madhara yake yatakua makubwa tofauti na unavyofikiriSTRONG vs TRUE FEELING is a key to back and forth in any relationship. Hivyo, urahisi au ugumu wa kurudi utategemea jinsi mlivyokuwa mmeshibana kabla na hakuna jinai au ahadi ya kifo kama ukirudiana na mwenza wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaja na kiherehere chake ama nyege zake, unampima kwanza afya ndio unazamisha dushe ama?Kuna watu wanafanya mapenzi bila kupima afya zao?
Ukipenda unapopendwa ndio inanoga balaa.
Huoni tatizo kulala na wanaume wengi?
Hyo hutokea kuko but vingine no way out rather than letting go. So most of the time hunishinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Low feelings,
Swali hujaliona nini mkuu?Huwa unapima mara moja!
Ukipenda unapopendwa ndio inanoga balaa.
Sioni madhara chini ya mwavuli wa maridhianoLakini madhara yake yatakua makubwa tofauti na unavyofikiri
5 are so many. Zinaa inaleta nuksi. Just stick with one day d.keyHahaaa mie wanaume niliodate nao hawafiki sita mbona wachache hvo. Naweza kaa mwaka si date yoyote and I'm happy and comfortable kabisa kuliko mahusiano
Sent using Jamii Forums mobile app
Low feelings in which sense jamani.Hongera kupendaLow feelings,
Mimi sishangai.
Wengine tumajua kupenda sio kutaman ma baby.
Sent using Jamii Forums mobile app
How if wewe ndio haukuthamini hisia zake?
Huo ugumu upo kwenye mindset yako tu lakini hakuna ugumu wowote
5 are so many. Zinaa inaleta nuksi. Just stick with one day d.key
Duuuh!! kwahiyo mkuu hata matanga huuzuliiMkishaachana mnarudiana tena ili iweje? mimi tukiachana na kuhesabia kuwa umeshakufa na umeshazikwa.
Huo ugumu upo kwenye mindset yako tu lakini hakuna ugumu wowote
Maridhiano gani ? Kama sio kudanganyana
Kama ni hivyo sawa. Wewe hujapata tu wakukupenda.
Duuuh!! kwahiyo mkuu hata matanga huuzuliiMkishaachana mnarudiana tena ili iweje? mimi tukiachana na kuhesabia kuwa umeshakufa na umeshazikwa.