Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,208
- 64,297
usipoenda itakuwa poa,ila ukienda utakutana na mitego ya kiutu uzima.Anakufanyia mini? Kwanini usijizuie kwenda?
Nijibu vizuri kwakunikumbuka Mimi.
usipoenda itakuwa poa,ila ukienda utakutana na mitego ya kiutu uzima.Anakufanyia mini? Kwanini usijizuie kwenda?
Nijibu vizuri kwakunikumbuka Mimi.
Mnabaki kuwa marafiki wa faidaMkishaachana mnarudiana tena ili iweje? mimi tukiachana na kuhesabia kuwa umeshakufa na umeshazikwa.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Hisia zako my foot...
Ur very insecured...hujiamini unajishtukia sn
Tusipangiane maishaSalama....
Ukiwa kwenye mahusiano hakikisha mnashikamana haswa sio juu juu tu ili badae ujute halafu muanze kurudiana.
Mwanaume ukiachana na mwanamke kwa kisa chochote kile usije ukarudiana nae ukidhani mambo yatakua mazuri kumbuka mtakapo achana nae kuna maumivu huwa yanakuwepo makali kwahiyo pindi utakapo rudiana nae utadhurika sana kwani huwa hawaji kwa wema .
Kwahiyo usirudiane nae
Shika hilo kwakunikumbuka......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine huwa yakitushinda hatuangalii nyuma hata iweje una activate roho mbaya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi sanaSalama....
Ukiwa kwenye mahusiano hakikisha mnashikamana haswa sio juu juu tu ili badae ujute halafu muanze kurudiana.
Mwanaume ukiachana na mwanamke kwa kisa chochote kile usije ukarudiana nae ukidhani mambo yatakua mazuri kumbuka mtakapo achana nae kuna maumivu huwa yanakuwepo makali kwahiyo pindi utakapo rudiana nae utadhurika sana kwani huwa hawaji kwa wema .
Kwahiyo usirudiane nae
Shika hilo kwakunikumbuka......
kabisa..hivi wanafikiri tulio wengi tunapenda kurudiwa eeh
Nani kakupangia maisha? Kama unaona yanafaa au hayafai hujalazimishwa.
Zingatia visivyo na madhara kwakousipoenda itakuwa poa,ila ukienda utakutana na mitego ya kiutu uzima.
ha ha ha ha,unakuta alishajiandaa na ukimuangalia utafikiri ameshushwa toka mbinguni;hapo uzalendo lazima upotee.Zingatia visivyo na madhara kwako
Shika hilo kwakunikumbuka Mimi.
Hilo suala liko sahihi kabisa mitego yao wakikuita ni ngumu sana kuchomoka hujamla kwahiyo bor a kutokwenda.ha ha ha ha,unakuta alishajiandaa na ukimuangalia utafikiri ameshushwa toka mbinguni;hapo uzalendo lazima upotee.
Wanaume huwa hamsikii unakuta mumeavhana five years unashangaa anataka kurudiana huwa nawaza nini wamesahau wakati hisia zilishakufa siku mingi.Acheni hyo tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
U meant kurudi ni kudanganyana..Swali umeliona mkuu?
Nijibu vizuri kwakunikumbuka Mimi.
Aaaaa!!! Wapiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkishaachana mnarudiana tena ili iweje? mimi tukiachana na kuhesabia kuwa umeshakufa na umeshazikwa.
"A woman is an incubator,Whatever you give it to her,she must multply it and give it back to you,if you give a word,she gives you a sentenc,if you give her a sentence,she gives you a paragraph and lastly a book,if you her a sperm she gives you a baby.....,AND IF YOU HER FRUSTRATUON,SHE WILL GIVE YOU A HELL"Salama....
Ukiwa kwenye mahusiano hakikisha mnashikamana haswa sio juu juu tu ili badae ujute halafu muanze kurudiana.
Mwanaume ukiachana na mwanamke kwa kisa chochote kile usije ukarudiana nae ukidhani mambo yatakua mazuri kumbuka mtakapo achana nae kuna maumivu huwa yanakuwepo makali kwahiyo pindi utakapo rudiana nae utadhurika sana kwani huwa hawaji kwa wema .
Kwahiyo usirudiane nae
Shika hilo kwakunikumbuka Mimi......
[emoji117][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]