LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,929
- 37,783
Ni sinema hiyo! Machozi? Hakunaga
Ni sinema hiyo! Machozi? Hakunaga
Wacha bwana!!!Mkishaachana mnarudiana tena ili iweje? mimi tukiachana na kuhesabia kuwa umeshakufa na umeshazikwa.
Nikupe hongera tumefanikiwa na ushindi umekuja upande wetu. (kwenye ule uzi uchwara)
Ebu lia nikuone basiKweli, unamwona MC Pilipili alivyo? Niko hivyohivyo muda wowote naweza kulia.
Kuwa makini mkuuMi ntafanya nitachoona kinafaa aisee,kutokana na mahitaji ya wakati huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha auntie umeanzaWacha bwana!!!
Ahahahaha.....wapasha viporo hao ,binafsi kiporo niliacha kula
Umewapa wangapi?. Na wanakwao au watembezi wa mjini na vijijin tuMimi huwa wanajileta wenyewe nawapa mimba kiherehere kinakoma.
Ukiona hvyo hapo anataka kuosha rungu tuu wala hana hisia na wwWanaume huwa hamsikii unakuta mumeavhana five years unashangaa anataka kurudiana huwa nawaza nini wamesahau wakati hisia zilishakufa siku mingi.Acheni hyo tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitathmini. Hofu ya Ku break up is a very important part of a woman brain
Wote wangekua wanapima maambukizi ya HIV yasingekuwepo.Kuna watu wanafanya mapenzi bila kupima afya zao?
Nimewapa 6 hadi sasa.Umewapa wangapi?. Na wanakwao au watembezi wa mjini na vijijin tu
Chagua kusuka au kunyoa
Unamuibia nani hapa we mtoto?Hahahha auntie umeanza
Nipe uone navyolia.Ebu lia nikuone basi
Google " On and off relationships" .They work very perfect.always Remember there is General rule and exception ,kwahiyo ulichosema wewe ni exception tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka auntie hivi hao wakuibiwa wapo kweliUnamuibia nani hapa we mtoto?
Usijali, kuna makapi kwenye nafaka safi.Nimefurahi sana hivi mtu unatumia vibaya mtandao unaoheshimika Jf kutaka ushauri wa ubakaji tena ukute ni babu zima maana Jf watu wazima wengi. Kanisikitisha sana lazima tuwalinde watoto bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikupe tenaNipe uone navyolia.