Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,052
Ndiyo.Nikupe tena
Ndiyo.Nikupe tena
Hawapo, ila unawaibia kila siku.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka auntie hivi hao wakuibiwa wapo kweli
Tiba ya nini?Muda ni tiba tosha.
Hahhaha ebu nitafutie mmoja nimwibie auntieHawapo, ila unawaibia kila siku.
Wanapata kwa sababu hawapimi.Wote wangekua wanapima maambukizi ya HIV yasingekuwepo.
Shika hilo kwakunikumbuka Mimi.
[emoji849]Tiba ya nini?
Nijibu vizuri kwakunikumbuka Mimi.
Wew hujui kupenda kwa kweli, yan mtu ukipata mpenz mzur na mtamu, siku mkiachana kurudiana tena ni simple sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hawa wa sasa wote unawaibia, hata wale walopita uliwaibia pia.Hahhaha ebu nitafutie mmoja nimwibie auntie
U have never been in a serious relationshipNapenda sana sasa mumeachana baada ya kushindwana nitarudianaje naye sasa. Mie huwa sirudi nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina sasa ebu nitafutie basi auntie niwaibie tugawaneHata hawa wa sasa wote unawaibia, hata wale walopita uliwaibia pia.
Usipende kupasha kiporo huwa vinasababishaga matumbo kuvurugika
Napenda sana sasa mumeachana baada ya kushindwana nitarudianaje naye sasa. Mie huwa sirudi nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitathmini. Hofu ya Ku break up is a very important part of a woman brain
Ukiona hvyo hapo anataka kuosha rungu tuu wala hana hisia na ww
From profile picture to proper future
Ukimaliza kuguna mkuu utaniambia
Subiri yakukute yanayowatokeaga wenzio.Google " On and off relationships" .They work very perfect.
Duh niache utamu wa papuchi kisa tuliachana?!! Mwee!!?
Kama ninaowafahamu ni wa5 na unasema huna, basi ngoja nikalale.Sina sasa ebu nitafutie basi auntie niwaibie tugawane