Mwanaume ukiachana na mwanamke usirudiane tena

Mwanaume ukiachana na mwanamke usirudiane tena

Mtu wakupenda huwa yukoje since nakua na ninayoshuhudia no real love zaidi ya kutumiana tu.

Hafu mie huwa siombi eti nipate wakunipenda kah naona ngumu sana. Bora niombe ya msingi walah
Kama ni hivyo sawa. Wewe hujapata tu wakukupenda.

Inaonekana humuombi Mungu akupe MTU sahihi na kama.unamuomba basi huombi kwa ufasaha.

Ukiomba kwa ufasaha Mungu anakupa MTU sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kurudia mwanamke ni sawa na kunywa maji ya ukoko .. saiv kuna sampuli za kila aina yaan mpaka unachanganyikiwa utoke na yupi raha sana iki kikokotoo cha mungu madem ni weengi kuliko mamen kimetuletea sana jeuri hatupigi tena maji ya ukoko
 
Hatari sana mkuu Fanya kwa uangalifu

Shika hilo kwakunikumbuka Mimi
 
kuna mwingine anakupatia mualiko labda kwenye event fulani au kwake bila kukuambia ni ishu gani mnaenda kujadili,ukiukubali tu;mwenyewe unajuta kwa nini umemuacha.
Anakufanyia mini? Kwanini usijizuie kwenda?

Nijibu vizuri kwakunikumbuka Mimi.
 
Back
Top Bottom