moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
Salama....
Ukiwa kwenye mahusiano hakikisha mnashikamana haswa sio juu juu tu ili badae ujute halafu muanze kurudiana.
Mwanaume ukiachana na mwanamke kwa kisa chochote kile usije ukarudiana nae ukidhani mambo yatakua mazuri kumbuka mtakapo achana nae kuna maumivu huwa yanakuwepo makali kwahiyo pindi utakapo rudiana nae utadhurika sana kwani huwa hawaji kwa wema .
Kwahiyo usirudiane nae
Shika hilo kwakunikumbuka Mimi......