Mwanaume ukiachana na mwanamke usirudiane tena

Mwanaume ukiachana na mwanamke usirudiane tena

"A woman is an incubator,Whatever you give it to her,she must multply it and give it back to you,if you give a word,she gives you a sentenc,if you give her a sentence,she gives you a paragraph and lastly a book,if you her a sperm she gives you a baby.....,AND IF YOU HER FRUSTRATUON,SHE WILL GIVE YOU A HELL"
Obvious its 100%
 
Kuna watu wanaachana kwa hasira tu, ila unajua mpenzi wangu ni mpole, mtulivu na pia ananipenda kwa dhati. Kama mkiseparate kwa muda kisha ukafahamu tatizo lilipo na kama inawezekana malizeni tofauti zenu maisha yaendelee kwani huko unakokwenda matatizo yapo sana na pengine ni makubwa kuliko ulipotoka. Ni wakati wetu sasa kubadilika na kuchukulia vitu positive. Mmegombana wekaneni sawa. Hii kidogo itapunguza hata maradhi na michepuko isiyo na lazima.
 
Kweli asee me navutaga dem mpya mapema sana ndomana kuwa na madem weng ni raha sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kirudiana na mwanamke ni udhaifu mkubwa sana .

Shika hilo kwakunikumbuka Mimi.
 
Kuna watu wanaachana kwa hasira tu, ila unajua mpenzi wangu ni mpole, mtulivu na pia ananipenda kwa dhati. Kama mkiseparate kwa muda kisha ukafahamu tatizo lilipo na kama inawezekana malizeni tofauti zenu maisha yaendelee kwani huko unakokwenda matatizo yapo sana na pengine ni makubwa kuliko ulipotoka. Ni wakati wetu sasa kubadilika na kuchukulia vitu positive. Mmegombana wekaneni sawa. Hii kidogo itapunguza hata maradhi na michepuko isiyo na lazima.
Kurudiana na mwanamke baada ya kuachana nae ni udhaifu zaidi ya bunge LA Tanzania
Shika hilo kwakunikumbuka Mimi.
 
Wacha kudanganya watu, akikumbuka je! labda kama mchezo haukuwa mzuri
 
Inategemea mkuu. Mwingine unamuacha hajakosea, unafikiria unaona kweli nimekosea, ukirudi bado anakupenda ni sawa but ukikuta amemove on tambaaaa. Ni makubaliano tu.
Kurudiana na mwanamke baada ya kuachana nae ni udhaifu zaidi ya bunge LA Tanzania
Shika hilo kwakunikumbuka Mimi.
 
Back
Top Bottom