Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,712
- 63,393
Unaweza ukaacha,ila kama amekupania atakupata tu.
Ukija kubahatika kuniona utasema siyo mimi.Ila we mtu ni mchokozi hivi unajijua lakini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Niwacheee na moyo wangu mgumu
Hapana bwanaUkija kubahatika kuniona utasema siyo mimi.
Anataka mrudiane au anataka kukupiga dushe tu? Those are two different things maamWanaume huwa hamsikii unakuta mumeavhana five years unashangaa anataka kurudiana huwa nawaza nini wamesahau wakati hisia zilishakufa siku mingi.Acheni hyo tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mtoto mzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Niwacheee na moyo wangu mgumu
Safi sana unawapa mimba kwa kiherehere chao ngoja waje wakupe HIV kwa kiherehere chako ...Mimi huwa wanajileta wenyewe nawapa mimba kiherehere kinakoma.
hao jamaa wenye huo msemo ni wagonjwa sana, walikuwa na kanisa jirani na nilipopanga, sa 11 wako hewani wanatoa maombi. namna wanavyoomba unaona kabisa hawa wagojwa
Anataka mrudiane au anataka kukupiga dushe tu? Those are two different things maam
Kuna watu wanafanya mapenzi bila kupima afya zao?Safi sana unawapa mimba kwa kiherehere chao ngoja waje wakupe HIV kwa kiherehere chako ...
Shika hilo kwakunikumbuka mimi
Kapo kakutosha mkuuKuna ka ukweli hapo
Nikupe hongera tumefanikiwa na ushindi umekuja upande wetu. (kwenye ule uzi uchwara)Mie staki cha dushe wala nini anakuja na machozi na anajua msimamo wangu wakutoa p yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli, unamwona MC Pilipili alivyo? Niko hivyohivyo muda wowote naweza kulia.Hapana bwana
Duh machozi tena? Mbona kama video vileMie staki cha dushe wala nini anakuja na machozi na anajua msimamo wangu wakutoa p yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaha.....wapasha viporo hao ,binafsi kiporo niliacha kulaImagine mda umepita hivi huwa mnasahau nini. Mmoja eti alisema tembo huwa hasahau njia yake hata miaka hamsini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh machozi tena? Mbona kama video vile
Kumbe!!!Wengine huwa yakitushinda hatuangalii nyuma hata iweje una activate roho mbaya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwa mwanaume mwenye misimamo asiyekubali kupasha kiporoUnaweza ukaacha,ila kama amekupania atakupata tu.