Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Mwanaume kuzijua dalili nyingi kama ulizoandika lazima uwe ni shoga
Kwani hivyo vitu ni vigeni?

Humu JF huonagi watu watu wenye ID za kiume wanaandika kama wanawake?

Maneno kama loh,tyu, thatha,thijui ,vepee huyaonagi humu?

Hilo swala la wanaume kuvaa cheni pia hulionagi ?

Ukishindwa kujibu nakuhesabia na wewe kundi moja la ndege john,ngabu na rayyoung
 
Niambie Wang

Mzima my

Hehehehe...inahuuu?
[emoji108] [emoji108]

Najaribu tu[emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100]
 
Aslimia 90 hapo ni ishu za kingese kwa mwanaume ila hilo la kupiga kamba shingoni nakukataa...Mi ni muumini mzuri wa silver kuanzia kwenye bracelet, pete na kamba shingoni. Ndio tamaduni zetu wahuni wa Kilimanjaro go ask anybody machalii wa Rchugga ama Moshi niaje!
 
Na vikuku unavaa?
 
Au dume lenzako linakwambia "jamani we mkaka handsome" yaan hadi aibu au "we mkaka umependeza" bila kusahau "goodnight"
Mwanaume mwambie mwenzako "kesho kamanda" sio goodnight
Kwahiyo kumwambia mtu "Goodnight" ni ushoga?
 
namba mbili umechemka ...kusema mambo ni ushoga ? we unaish wapi kwani. we kila.....z
 
Kuna Watu Mnashangaza sana.

Kwahiyo Mwanaume kuvaa cheni ya Silver ni Ushoga?

Halafu wewe binafsi umeyajuaje hayo yote mfano hayo maneno yoote?

Umepata wapi muda wa kuyafuatulia hayo kwa Wanaume wenzio?

Usishangae tukikuhisi nawewe ni Shoga.
 
Mwanaume kumtext mwanaume mwenzake I m c uu!! I mc u my hiyo imekaaje??
 
Back
Top Bottom