Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Ujumbe ushafika teyali

Ukiendelea kujitetea shauri zako ,sikushikii bakora

Ni uamuzi wako kuendelea au kuacha
Mbona wewe mwenyewe upo na tabia nisizoziafiki mfano
Teyali=tayari
Pia nashangaa unamshambulia nyani ngabu mwanaume mwenzako ni bora ungemfuata Pm na sio kumchafua humu jukwaani. Wanaume WA ukweli hatuko hivo wanaume WA ukweli kwanza hawajui tabia za ushoga wao wapo busy na maisha Yao Tena kizazi hiki AMBACHO ni vigumu kutambua Nani ni shoga.. Hata hivyo yako baadhi umeandika ambayo mimi binafsi sipendi vijana WA KIUME wayaige mfano matumiz ya emoji Ile ya kukutanisha VIDOLE.
 
Mbona wewe mwenyewe upo na tabia nisizoziafiki mfano
Teyali=tayari
Pia nashangaa unamshambulia nyani ngabu mwanaume mwenzako ni bora ungemfuata Pm na sio kumchafua humu jukwaani. Wanaume WA ukweli hatuko hivo wanaume WA ukweli kwanza hawajui tabia za ushoga wao wapo busy na maisha Yao Tena kizazi hiki AMBACHO ni vigumu kutambua Nani ni shoga.. Hata hivyo yako baadhi umeandika ambayo mimi binafsi sipendi vijana WA KIUME wayaige mfano matumiz ya emoji Ile ya kukutanisha VIDOLE.
It takes one to know one.

Shoga lazima awajue mashoga wenzake.

Kama mtu si shoga hizo dalili utazijuaje?
Kweli mkuu
 
no 5 mtu kuweka id ya jina la kike utajuaje kuna wengine makoo yao majina ya kike na ya kimume hufanana mfano haitham kuna mke na mume doto kuna mume na mke
 
It takes one to know one.

Shoga lazima awajue mashoga wenzake.

Kama mtu si shoga hizo dalili utazijuaje?
Your are absolutely right. AU kama anakuwa sio shoga basi utakuta Ana tabia ambazo huwa anakaa anajishtukia yaani manaake roho inasita anabaki anajiuliza kama hizo tabia zina elements za upande gani AU ashawahi kutamani na kufikiria kujaribu ushoga.. Me nimemshangaa pale alipokutaja wewe nikabaki najiuliza mtu asiye kujua hamjawahi kukutana anajua vipi kama wewe ni shoga itakuwa kichwani kwake Ana mawazo fulani juu ya hisia na namna mashoga walivyo na ndo maana amekuchafua.
 
Inashangaza sana kukuta dume zima linafanya mambo yafuatayo,

Ukiwa miongoni mwa mambo haya basi jua una element za ushogaaa zinakukaribia

1:Mwanaume kusonya, huwa nashangaa sana nikimuona mwanaume mwenzangu anasonya au anaandika mxeuuuuw napata mashaka naye sana

2: Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo au kusema "Hi" mwanaume aliyekamilika hawezi akasema " Hi" hii ni salamu ya kike au labda mwanaume kumsalimia mwanamke lakini sio dume kwa dume unakuwa unazingua kichizi


3:mwanaume kuandika maneno kama ,thatha ,thawa ,tyu,poyeee hii ni dalili ya upunga

4: mwanaume kucheka huh huh huh,huu ni uboya uliopitiliza wanaume tunacheka hah hah hah hiyo huh huh huh waachieni akina dada

5:mwanaume kutumia Id ya kike humu JF huko ni kujifunza ushogaaa kwa kuwa utataka ukomenti kikike kike pia utataka kujifunza kutoa majibu ya kike watu wakikufata kukutongoza Pm,
Madhara yake yanakuja pale unapokuwa addicted na koment zako za kike mwisho wa siku utakuwa unakomenti kikike kike hata whatsup na huo ndio mwanzo wa ushogaa sasa

6:mwanaume kuandika" buana" huu pia ni ujinga uliopitiliza

7:mwanaume kutumia maneno kama" nitakuchamba" au " nitakusuta" huu ni ulofa wanaume tunatumia neno "kuchana" na sio hayo mengine


8: mwanaume kutumia emoji ya kukutanisha kidole cha kati na kidole gumba kama wale wa taarabu au wamama wa uswahilini wakipeana makavu pia ni ulofa uliopitiliza

9:mwanaume kuvaa kipuri na cheni ni dalili ya upunga hiyo

10:mwanaume kuandika "uuuuuwi" ni ujinga huo na dalili ya upunga

11: mwanaume kuandika , " nambie my" " mambo vipi wangu"hizi ni dalili za mchicha mwiba hizo

Ukiona wewe unafanya kati ya hayo niliyoyataja badilika haraka la sivyo tutakuhesabia na wewe punga
Edit iyo namba 9 hapo kwenye cheni
 
Hamna kitu inanikera kama No.2, mtoto wa kiume kumwambia WA kike it's ok LAKINI wa kiume kumwmbia wa kiume INAKERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Mm navaa cheni sliver na napiga mademu kishenzi alafu, nikiwa nimekula nimeshiba na nikikutana na demu msafi na anayejua mahaba naweza kupiga mpaka vitano.
Hapo kwenye cheni kazingua..
 
Back
Top Bottom