Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Mwanaume rijali hawezi kufanya haya

Your are absolutely right. AU kama anakuwa sio shoga basi utakuta Ana tabia ambazo huwa anakaa anajishtukia yaani manaake roho inasita anabaki anajiuliza kama hizo tabia zina elements za upande gani AU ashawahi kutamani na kufikiria kujaribu ushoga.. Me nimemshangaa pale alipokutaja wewe nikabaki najiuliza mtu asiye kujua hamjawahi kukutana anajua vipi kama wewe ni shoga itakuwa kichwani kwake Ana mawazo fulani juu ya hisia na namna mashoga walivyo na ndo maana amekuchafua.
Nimekuweka kundi moja na ngabu na rayyoungr

Nani asiyejua humu JF kwamba ngabu mchele mchele?
 
Wanaume wa dar km wa Nairobi salam zao ndyo hzo
 
no 5 mtu kuweka id ya jina la kike utajuaje kuna wengine makoo yao majina ya kike na ya kimume hufanana mfano haitham kuna mke na mume doto kuna mume na mke
hapo ujue inakuaje mkuu
Mtu anajifanya wa kike labda atasifia chura yake,ataponda wanaume na kukomenti kikikekike
 
It takes one to know one.

Shoga lazima awajue mashoga wenzake.

Kama mtu si shoga hizo dalili utazijuaje?
Nimekupa makavu ndo maana unaweweseka


Sasa kwa vitu nilivyovitaja hapo ukiwa mwanaume unavifanya kwa nini tusikuite punga?
 
Is that all you got?

I've been called worse than that.

Good try, though.
Mkuu huyu jamaa tuachane naye naona anatafuta kile AMBACHO wenyewe wanaita kick.. Tukizid kufanya nae arguments tutakuwa kama tunajifananisha na yeye kwanza jf kaijua mwaka huu huu.. Nakuomba Sana hii iwe mchango wetu WA mwisho kwenye hii thread. Muache na ujinga wake thread yenyewe hii kwanza na wasiwasi Alii copy sehemu kama huamini ka review post zake za nyuma utaona MANENO anayotumia halafu kama kinasadiki haya aliyopost
 
Mkuu huyu jamaa tuachane naye naona anatafuta kile AMBACHO wenyewe wanaita kick.. Tukizid kufanya nae arguments tutakuwa kama tunajifananisha na yeye kwanza jf kaijua mwaka huu huu.. Nakuomba Sana hii iwe mchango wetu WA mwisho kwenye hii thread. Muache na ujinga wake thread yenyewe hii kwanza na wasiwasi Alii copy sehemu kama huamini ka review post zake za nyuma utaona MANENO anayotumia halafu kama kinasadiki haya aliyopost
Haya jikatae fasta hujaitwa humu shobo zako zimekutuma uje ,mchukue huyo punga mwenzako
 
Inashangaza sana kukuta dume zima linafanya mambo yafuatayo,

Ukiwa miongoni mwa mambo haya basi jua una element za ushogaaa zinakukaribia

1:Mwanaume kusonya, huwa nashangaa sana nikimuona mwanaume mwenzangu anasonya au anaandika mxeuuuuw napata mashaka naye sana

2: Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo au kusema "Hi" mwanaume aliyekamilika hawezi akasema " Hi" hii ni salamu ya kike au labda mwanaume kumsalimia mwanamke lakini sio dume kwa dume unakuwa unazingua kichizi


3:mwanaume kuandika maneno kama ,thatha ,thawa ,tyu,poyeee hii ni dalili ya upunga

4: mwanaume kucheka huh huh huh,huu ni uboya uliopitiliza wanaume tunacheka hah hah hah hiyo huh huh huh waachieni akina dada

5:mwanaume kutumia Id ya kike humu JF huko ni kujifunza ushogaaa kwa kuwa utataka ukomenti kikike kike pia utataka kujifunza kutoa majibu ya kike watu wakikufata kukutongoza Pm,
Madhara yake yanakuja pale unapokuwa addicted na koment zako za kike mwisho wa siku utakuwa unakomenti kikike kike hata whatsup na huo ndio mwanzo wa ushogaa sasa

6:mwanaume kuandika" buana" huu pia ni ujinga uliopitiliza

7:mwanaume kutumia maneno kama" nitakuchamba" au " nitakusuta" huu ni ulofa wanaume tunatumia neno "kuchana" na sio hayo mengine


8: mwanaume kutumia emoji ya kukutanisha kidole cha kati na kidole gumba kama wale wa taarabu au wamama wa uswahilini wakipeana makavu pia ni ulofa uliopitiliza

9:mwanaume kuvaa kipuri na cheni ni dalili ya upunga hiyo

10:mwanaume kuandika "uuuuuwi" ni ujinga huo na dalili ya upunga

11: mwanaume kuandika , " nambie my" " mambo vipi wangu"hizi ni dalili za mchicha mwiba hizo

Ukiona wewe unafanya kati ya hayo niliyoyataja badilika haraka la sivyo tutakuhesabia na wewe punga
Hicho ndicho kizazi cha dotcom.
 
Back
Top Bottom