brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
- Thread starter
- #21
Na wewe mchicha mwiba nini?Wanaume wa dasalamu bhana,
Mkapimwe kwanza
Mbona unatetea?
Ukishindwa kujibu nakuunganisha kundi moja na rayyoungr na ngabu
Na wewe mchicha mwiba nini?Wanaume wa dasalamu bhana,
Mkapimwe kwanza
vp...jina linasadifu uhalisia? au ume'fall' kwenye category!!![emoji2] [emoji2] (kidding)Haya.
jiwe gizan nn??Duh hadi kusalimia mambo!hiyo umepotosha.hata kuwateta wengine vibaya ni ushoga.kama wewe kazi yako kuzungumza ya wengine unapakuliwa.haya hutokea sana kwenye vijiwe vya kahawa.Mara Fulani kanunua gari lingine na kadhalika.kiingereza ni gossips.dume ziiiima....aagh
Umeona na wewe mkuu?jiwe gizan nn??
dawa moja wapo ndio hiyo niliyotoaKuendelea kulalamika juu ya tabia za kishoga siyo issue kubwa.Issue ni kubuni dawa na namna ya kuwakomboa wanaume mashoga.Tuanze na hawa wawili waliojitangaza hivi karibuni.
Ujumbe umekupata bila shakaHata kujali wanaume wenzio wanafanya nini au wanaandika nini nao ushoga.
Mwanaume halisi hajali wanaume wengine wanafanya nini.
Anajali yake yanayomhusu mtu.
Dume zima umekaa umekodoa macho kuona wanaume wengine wanafanya nini?
Hapana aisee. Hiyo haihusiki kabisa.
Endelea kusubiri, watakuja kukuwashia moto muda sii mrefu.Haya makitu hayapendi kuokolewa kwenye hilo dimbwi la ushoga.dawa moja wapo ndio hiyo niliyotoa
Wataona jau kuendelea kutumia maneno yao ya kike kwa kuwa wataonekana mchele mchele
Dalili kubwa zaidi ya ushoga ni kujifanya uko mkali sana na mkosoaji mkubwa wa mashoga.Ujumbe umekupata bila shaka
Ni uamuzi wako kuendelea au kuacha
Ujumbe ushafika teyaliDalili kubwa zaidi ya ushoga ni kujifanya uko mkali sana na mkosoaji mkubwa wa mashoga.
Manake hapo unakuwa una project mwelekeo wako wa kijinsia kwa kuwanyooshea wengine vidole.
Mwanaume anayejiamini sidhani kama atakuwa na muda wa kuanza kufikiria dalili za kishoga zikoje zikoje na kuanza kutoa ushauri.
Shoga is as shoga does.
Kweli mkuuSio utani mkuu hii kitu serious inakera sana
Unachati na mwanaume mwenzako anakuandikia maneno kama vile tyu,poyee ,thijui ,huhuhuh
Nakereka kichizi na hapo hapo nakupotezea kabisa