Mwanaume pesa sura inavumiliwa

Mwanaume pesa sura inavumiliwa

Attachments

  • KIMEO.jpg
    KIMEO.jpg
    7.5 KB · Views: 600
Na kuitwa mzee mwisho chalinze,mjini kila mtu bebi
 
Duh,
hata kama sura lazima uangalie na mambo mengine.
 
Mimi hela zake sizitaki, ila angalau na kamvuto kakuhamasisha.
 
kwa wanaoishi mbeya wanasema uzee mwisho uyole
 
Hata kama ana pesa zake kaweka na sura yake kwenye pesaa hiyo sura siwezi kuivumiliaa anatishaaaaaa
 
Hata kama ana pesa zake kaweka na sura yake kwenye pesaa hiyo sura siwezi kuivumiliaa anatishaaaaaa

unahongawa 1bn...unasahau mpk kwenu....mpk kazini unataka uende nae...
 
unahongawa 1bn...unasahau mpk kwenu....mpk kazini unataka uende nae...

Akinipa hizo namtorokaa siwezi kuishi na mtu ana sura ya hivyo yaan mi namuogopa je watoto je si watazimiaaa
 
utazoea tu....utamwona hb dunia nzima...

ha ha ha ha!sura ya kubembelezea watoto!unaweza ukawa nae ndan ukajisahau ukaanza kupiga yowe ukidhani kinyago kmekuvamia kumbe mume huyo.....nife na shida tu so hiyo sura
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom