high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,951
- 2,193
Huu msemo ni kweli kabisa mwanaume ukiwa na pesa hata kama utakuwa mbaya utavumiliwa tu na utaonekana umesoma hata kama hujasoma utaitwa msomi muda wote wambembelezwa ukipumua waambiwa pole baby badala ya kuambiwa acha ujinga waambiwa pole baby duuu enzi zile mashangingi tuliyasikia mijini na ulaya saizi popote pale yapo