Ila mbona jamaa sura iko poa tu..!
mmmh!ngoja nipite tu
Ila mbona jamaa sura iko poa tu..!
ha ha ha ha!sura ya kubembelezea watoto!unaweza ukawa nae ndan ukajisahau ukaanza kupiga yowe ukidhani kinyago kmekuvamia kumbe mume huyo.....nife na shida tu so hiyo sura
haki ya nani nikikosa mke mzuri uzembe wangu...
anahisi akimuangalia sana atachange!. anamuona kama illusion hivi.
MWANAUME pesa .Kama Huna pesa badili jinsiakwa hiyo binti anakua mke wa waleti. kazi ninayo!
MWANAUME pesa .Kama Huna pesa badili jinsia
unapigwa denda mpk mate yanaisha....
dah pole mkuu...just retrymkuu nimegusika na hii kauli!
by the way.. moving avatar imenizingua bana!
kila nikiweka URL inaandika invalid file!
MWANAUME pesa .Kama Huna pesa badili jinsia
anabebeka tu km umepania shoo.. hiyo sura rambo zipo na shughul inamalizika, na pole dia nyiiiingii tu baada ya mechi
Huu msemo ni kweli kabisa mwanaume ukiwa na pesa hata kama utakuwa mbaya utavumiliwa tu na utaonekana umesoma hata kama hujasoma utaitwa msomi muda wote wambembelezwa ukipumua waambiwa pole baby badala ya kuambiwa acha ujinga waambiwa pole baby duuu enzi zile mashangingi tuliyasikia mijini na ulaya saizi popote pale yapo .
![]()
mbona mwanamke anamuangalia kama anamuogopa vile??
Hata kama ana pesa zake kaweka na sura yake kwenye pesaa hiyo sura siwezi kuivumiliaa anatishaaaaaa
mmmh!ngoja nipite tu