Mwanaume mzima unashika shika........!

Mwanaume mzima unashika shika........!

kaka pole sana mimi yalishawahi kunikuta hayo,ilikuwa simu naniliomba kuitumia yakwangu iliishapesa kabla sijaruhusiwa mimi nikaichukua maana ilikuwa mezani na yeye alikuwa uani,alipotoka akakuta naongea nayo aliwaka mtoto wa watu akasema siku akiona nimeishika simu yake anaivunjavunja na kuitumbukiza chooni,sasa mimi ni wale vichwa maji kwanza niliamua kuipekuwa na kukuta sms ameandikiwa na mtu simjui no tu,inasema hivi mama fulani kanieleza yaani huku saa hizi nani....inataka kupasua ch.......p,nikasema alaakumbe hiki ndo kinachosababisha yote haya nilichokifanya ni kuivunja vunja ile simu na kuiflash chooni na kipigo juu,hivyo kaka si bure kuna kitu hapo chunguza
 
Ulichokifanya umekosea na alichokifanya mkeo amekosea pia, wote mmekosea.
Kivipi?

*Japokuwa ni mke wako na una uhuru nae na vitu vyake, lakini inategemea desturi na utamaduni wa kuishi mliojijengea nyinyi wenyewe. Kumbuka mikoba ya kina mama inabeba vitu vingi tena vingine ni siri(Urembo, Pedi, Nguo, Dawa nk) kwa mwanamke mwenyewe tu, hivyo sio busara sana kuifungua pasipo ridhaa ya mwanamke mwenyewe unless mmeshajenga utamaduni huo!!

*Mkeo pia amefanya makosa sana kwa kuonyesha ukali na hasira kwa jambo ambalo hajaridhia kwanza kufanywa na mume wake, hivyo imepelekea wewe kuhisi vibaya.
Nimependa comment yako. Wote wana makosa. Kwani kwa jinsi dada alivyofura ni wazi hawana utamaduni wa uwazi kwenye ndoa yao so alipaswa akubaliwe kwanza. Na mdada naye kuropoka maneno yote hayo, mhm? Sio vizuri.
Wakaongee wasameheane. Ndio misukosuko ya ndoa hiyo.
 
nimetetemeka kwa hasira kama ndo mimi!huu uzungu unawa cost vijana,mkeo hawez kufoka tu from nowhere,utakuwa unamdekeza sana!hiyo ndio result ya maisha ya kuiga jay z na beyonce
 
pole mkuu huyo angekuwa kaolewa ukuriani pangeeleweka.
 
ukipata nafasi chek hiyo laptop yake na kama ana skype ichek na pia files zilizomo humo kwenye laptop..ila ujiandae kwa lolote hasa kule kwenye skype chat...
 
Kwakweli lugha aliyotumia ina kera sana! Pole sana mkuu!
Hila kuna kitu kikubwa ana kuficha bila shaka!
 
Sisi wanawake ni selfish sana sana ,mfano rahisi utakuta wote mnafanya kazi ila hela itakayotumika ni ya mume tuuu kwa kila kitu home ya kwako niyakuvaa tu soooo selfish .huyo dada ana jambo la ziada lakukuambia juu ya kauli yake .mimilait ningezaliwa mwanaume nsingeruhusu kuchezewa namna hiyo muna thamani kubwa sie viumbe dhaifu na wadogo sana kwenu.mwite kwa sauti mwambie kaa pale explain kila neno ulilolitoa siku ile alaaah unammezea mate ya nini hataki mwambie akapumzike kwao.na at last usipumbazike kingono akiri hayo maneno yake .mwanaume bila udicteta haya matoto ya kike hayaendi,,ni bora kufuga mabata 10 kuliko mwanamke 1.huwa namwambia mume wangu mwanaume lazima uongee kwa sauti ijulikane nibaba ameongea la sivyo hata watoto watakupanda kichwani!!we bana bana pua atakuaibihs hivohivo mbele za watu.

Nivea siku hizi unakula mboga gani mbona unakuwa jiniazi kiasi hiki??
 
Hizi ni siri zenu. Si jambo jema kuziweka hadharani. Fikiria kama mkeo ni mwana JF, atajisikia vipi akisoma hapa?
Ni kweli ni siri lakini ataelewa ubaya wa alichomfanyia mwenzake na hata kabla hajaulizwa anaweza kuanza kujieleza mwenyewe maana hakuna hata mmoja aliyetetea upuuzi wake.
Mke amuwekee mumewe mipaka kwa lipi hasa! Atuambie kama ana yake mengine.
 
Sisi wanawake ni selfish sana sana ,mfano rahisi utakuta wote mnafanya kazi ila hela itakayotumika ni ya mume tuuu kwa kila kitu home ya kwako niyakuvaa tu soooo selfish .huyo dada ana jambo la ziada lakukuambia juu ya kauli yake .mimilait ningezaliwa mwanaume nsingeruhusu kuchezewa namna hiyo muna thamani kubwa sie viumbe dhaifu na wadogo sana kwenu.mwite kwa sauti mwambie kaa pale explain kila neno ulilolitoa siku ile alaaah unammezea mate ya nini hataki mwambie akapumzike kwao.na at last usipumbazike kingono akiri hayo maneno yake .mwanaume bila udicteta haya matoto ya kike hayaendi,,ni bora kufuga mabata 10 kuliko mwanamke 1.huwa namwambia mume wangu mwanaume lazima uongee kwa sauti ijulikane nibaba ameongea la sivyo hata watoto watakupanda kichwani!!we bana bana pua atakuaibihs hivohivo mbele za watu.

Daaa sikupenda sana kukupa like tu nimeona pia nichangie......kama kweli wanawake wote wangekuwa kama wewe nafikiri boys wasingejuta uamuzi wa kuoa,kifupi ur lucky,hata kama hauko hivi kwa haya maneno tu am sure yatakubadilisha tuu,Nimejiuliza ni wewe tu ndo unajua haya au wengine wanajua sema hawataki kuyafanya kwa kuhisi watakuwa chini,wataonekana wanyonge/watakosa uhuru/watakosa usawa au haki....mengi tu....hata kama uko jf God bless your family and Husband,umekumbusha/umedhihirisha wengi.
 
Sisi wanawake ni selfish sana sana ,mfano rahisi utakuta wote mnafanya kazi ila hela itakayotumika ni ya mume tuuu kwa kila kitu home ya kwako niyakuvaa tu soooo selfish .huyo dada ana jambo la ziada lakukuambia juu ya kauli yake .mimilait ningezaliwa mwanaume nsingeruhusu kuchezewa namna hiyo muna thamani kubwa sie viumbe dhaifu na wadogo sana kwenu.mwite kwa sauti mwambie kaa pale explain kila neno ulilolitoa siku ile alaaah unammezea mate ya nini hataki mwambie akapumzike kwao.na at last usipumbazike kingono akiri hayo maneno yake .mwanaume bila udicteta haya matoto ya kike hayaendi,,ni bora kufuga mabata 10 kuliko mwanamke 1.huwa namwambia mume wangu mwanaume lazima uongee kwa sauti ijulikane nibaba ameongea la sivyo hata watoto watakupanda kichwani!!we bana bana pua atakuaibihs hivohivo mbele za watu.

Aisee nivea nimekukubali! Hadi nimemuonea wivu jamaa anayekumiliki, lol! Lala 1 njoo huku ujionee!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Aisee nivea nimekukubali! Hadi nimemuonea wivu jamaa anayekumiliki, lol! Lala 1 njoo huku ujionee!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Lara1 atakuja kweli? kwahii ya nivea ilivyo....daaaaa noma....na akija lazima now awe positive tuuuu.hope hii post ameisoma now anatafakari.....anaweza kuja kivyake ku coments....
 
wangu ujumbe kwako muhusika

1. kwanza si vema kutumia kitu cha mtu yoyote bila ridhaa yake na hii ni kwenye maandika ya vitabu vyote.

2.ni kweli wana ndoa ni mwili mmoja lakini wenye hisia tofauti hivyo kwa hili inapaswa kuheshimu hisia za mwenzako.

3. lakini pamoja nahayo yaliyo tangulia hapo juu ila nidhamu ni jambo muhimu kwa wanandoa ukweli ni kwamba alikukosea sana kusema yaliyo mtoka hata kama alikuwa na hasira gani ila ilipaswa kutambua anaongea na wewe kama mume wake na si mpita njia.

4. Ushauri wangu kwako ni kwamba usiwe na hasira kama yeye alivyo fanya kwa kuwa wanawake ni watu wa kuhurumiwa kwa makosa ambayo huwa wanafanya, hivyo wewe mwambie ukweli kwamba hujafurahishwa na jambo lililotokea hivyo anapaswa kutambua wewe ni mume wake kuna kauli ambazo hapaswi kuzitumia.

5. anaweza kuwa kiburi wakati wa kumuelimisha na kama atafanya hilo usijibidhane na yeye mtazame na fahamu kwa kunyamaza atajifunza mengi na atajilaumu sana kwa alilofanya.
 
Act like an african husband ,si ni mke wako kabisa anachokutisha nini ?.Likely kuna biashara haramu (anauza share zako)
anafanya that`s why anakuwa mkali ,sijui hawa viumbe wameumbwaje jamani wanamatatizo mno ,pole sana mkuu

nimeipenda hii...hasa uliposema-act like African husband....mimi Huwa sielewi muda mwingine kuhusu Haya mapenzi ya tamthilia
 
nimetetemeka kwa hasira kama ndo mimi!huu uzungu unawa cost vijana,mkeo hawez kufoka tu from nowhere,utakuwa unamdekeza sana!hiyo ndio result ya maisha ya kuiga jay z na beyonce

ahahahaaaaaaa...nine ngwitika...lo!
 
Brother, nadhani amevuka mipaka! Hilo lazima likupe signal, kwamba kuna jambo si sawa hapo!
 
Kama unaweza kugusa sehemu yake ya siri inayofichwa kwa nguo nyingi anawezaje kukuzuia kugusa mkoba ulio wazi? Hapo kuna kesi ya kujibu
 
.......mwanaume zima unashika shika mikoba ya wanawake!! we vipi??? Yalikuwa ni maneno yaliyonichoma barabara moyo wangu tena kutoka kwa mwanamke ninayempenda kuliko wote, yaani mke wangu!!!

Ilikuwa hivi, ametoka kazini akanipitia mimi kazini kwangu tukawa tunajirudisha home taratiibu na stori mwanana za kutaniana hivi na vile bora tumekutana tunaopendana!!!

Ugomvi ulianzia nilipopokea simu ya mfanyakazi mwenzangu akinitaarifu kuwa report niliyotuma, attachment haikwenda ambayo ndiyo report yenyewe!!! So nitume tena na kwa haraka sana coz makao makuu wanaisubiri jioni hiyo hiyo!!! Niliwasha laptop yangu nikakuta ina umeme kidogo sana nilichofanya ni kuibeba kwenye flash na nikalazimika kumuomba mke wangu laptop yake ili niitumie kwa muda huo!!!

Ye wife anatumia mini laptop ambayo inaingia kwenye mkoba wake anaoweka na vitu vingine vya kike, kiukweli sikusubiri jibu lolote toka kwake nikafungua mkoba wake na kutoa min laptop yake nikaiwasha na kuanza kutumia, kumbe mwenzangu muda wote huo hakuniona ila alinielewa kuwa nahitaji laptop yake!!!

Aliposimamisha gari na kunigeukia akakuta natumia tayari, daah!!! Yalimtoka maneno ambayo sijawahi kuyasikia kinywani mwake tangu namfahamu (moja wapo ni hayo niliyotumia kama title aya ya kwanza)!! Alikasirika mwanamke mpaka nikashangaa, sikumjibu kitu kwani nilituma niliyoyatuma nikazima laptop yake nikamrudishia!!!

Katika kudadisi kwangu niligundua yafuatayo;
1. Alikasirika sababu nimefungua mkoba wake, Je wana JF mimi kama mume mtu siruhusiwi kugusa mkoba wa mke wangu na kuufungua??
2. Alikasirika mimi kuwasha laptop yake kwa madai kwamba ile ni kitu binafsi kama ilivyo simu so nilipaswa kusubiri aniwashie!! Wana JF laptop pia ni restricted kwa mume/mke???

Kifupi mie sijaongea nae kitu mpaka sasa coz mihasira mingi na nimejikuta nina mengi yanazunguka kichwani nataka kwanza nitulie ili nilianzisha tuelewane vizuri!!!

Ila bado najiuliza nilikuwa sahihi ama nimekosea??? Wana JF mnaonaje hili????

Nawasilisha

Pole sana mkuu,kuna mwenzio alikuta KY jelly alafu imetumika vya kutosha tu humu..........my take,si vibaya kuomba ruhusa,maana kuna watu wako genuine na mambo yao,lakini kuna wengine wana vijimambo vyao........na ndio hao wanaokuwa na limitation na vitu yao..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom