Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
sasa nielewe vizuri:wanaume wengi niwana mioyo mepesi sana ,wengi hawapendi kero na matatizo ya hapa na pale.ugomvi ,kusemwa kutukanwa ,kuudhiwa na kero nyingi tu zitokanazo na wakezo wanawake wengi wakiudhika huishia kulia kwa sauti na makelele mengi then mzigo moyoni umeisha yasio na msingi mwanaumre rijali aleyefunzwa hali ikabisa anaishia kuugulia ndani kwandani wakati moyo wake ukiwa unadondosha matone ya damu siku hadi siku,hii ni presha anaitengenesha ,msongo wa mawazo yaani kwanini huyu mwanamke anifanyie hivi,shinikizo la damu na magonjw mengi yanayochangiwa na hili,na ndio sababu kwenye misiba utasikia mwache alie fundo limtoke !!hilifundo kwa wanawake linatoka kwa mwanaume anayeudhiwa never yanajikusanya humo na mwisho anapata maradhi anaiaga dunia.yaan leo umenambia kitu alichoniambia my dad miaka 12 hivi iliyopita...hapo kwenye bold/blue hapo...
he said, ina maana mungu ana upendeleo na kuchukua wababa tu na kuacha kina mama?sikuelewa coz by that time i was too young for that...
my intake:
waangalie wanaume madictator ambao mwanamke ni nothing kwao miaka yao ya kuishi inasogea kuliko wanaume wanyonge na wapole na wenye kujali usawa na kuwasikiliza wakezao..hahahaha sijasema muwe mdictator ila kuweni makini sana kuishi na wake zenu jamani usimpe hata 60%ya maisha yako