Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
Kupitia utoaji wako wa ushauri, huu wa leo kimtaani wanasema kuntuhahahaahhah unanifahamuje mkuu huo ndio uhalisia jamani kha
Kupitia utoaji wako wa ushauri, huu wa leo kimtaani wanasema kuntuhahahaahhah unanifahamuje mkuu huo ndio uhalisia jamani kha
haya ndio maisha yangu halisi sitaki mume wangu afe aniache kwa presure, mboga sikuhizi nakula ya mbeya naona ni nzuri kuliko ya Arusha,Nivea siku hizi unakula mboga gani mbona unakuwa jiniazi kiasi hiki??
mimi ni she kabisaaaaaaa kwani vipisijakufahamu vizuri wewe ni she au he?
for sure he is really lucky and happy endeed.hua mimi sio msaliti wa moyo wangu na siishi maisha ya pretending hata siku moja.if this what u have said comes from ua heart,if u mean it,then your husband/boyfriend is lucky
wanajua sana na wanawake wengi wanaelewa ,wanawake wako so curious tofauti wanaume, kitu cha kwanza mwanamke akikutana na mwanaume yeye hutafuta kuyajua madhaifu yake tu ili aweze kuishi nawe kupitia madhaifu yako na pale ndipo anapokutawala kirahs tofauti na wanaume husoma mke /gf anapenda nini what ever ili akuridhishe sasa nafikiri umejifunza kitu hapa .this is the way women are ni watu wa kupima sana maji na mguu na akikupata kama huyo bwana hapo juu na ndio kitakuwa chanzo cha kifo chake .jiulize ni kwanini wanaume asilimia kubwa hutangulia kufa kabla ya wake zao kma sio ajali? jibu rahisi sana (hapa sizungumzii gf/bf)Daaa sikupenda sana kukupa like tu nimeona pia nichangie......kama kweli wanawake wote wangekuwa kama wewe nafikiri boys wasingejuta uamuzi wa kuoa,kifupi ur lucky,hata kama hauko hivi kwa haya maneno tu am sure yatakubadilisha tuu,Nimejiuliza ni wewe tu ndo unajua haya au wengine wanajua sema hawataki kuyafanya kwa kuhisi watakuwa chini,wataonekana wanyonge/watakosa uhuru/watakosa usawa au haki....mengi tu....hata kama uko jf God bless your family and Husband,umekumbusha/umedhihirisha wengi.
Sisi wanawake ni selfish sana sana ,mfano rahisi utakuta wote mnafanya kazi ila hela itakayotumika ni ya mume tuuu kwa kila kitu home ya kwako niyakuvaa tu soooo selfish .huyo dada ana jambo la ziada lakukuambia juu ya kauli yake .mimilait ningezaliwa mwanaume nsingeruhusu kuchezewa namna hiyo muna thamani kubwa sie viumbe dhaifu na wadogo sana kwenu.mwite kwa sauti mwambie kaa pale explain kila neno ulilolitoa siku ile alaaah unammezea mate ya nini hataki mwambie akapumzike kwao.na at last usipumbazike kingono akiri hayo maneno yake .mwanaume bila udicteta haya matoto ya kike hayaendi,,ni bora kufuga mabata 10 kuliko mwanamke 1.huwa namwambia mume wangu mwanaume lazima uongee kwa sauti ijulikane nibaba ameongea la sivyo hata watoto watakupanda kichwani!!we bana bana pua atakuaibihs hivohivo mbele za watu.
kwa muktakabali huu ni wanaume wengi mnateseka na haya mapenzieee????maana nimeandika kitu kidogo sana wala sijafikiri nashangaa kimeonekana muhimu sana,naanza kuwaonea huruma wanaume mnatumia nguvu nyingi sana kuishi na wake zenu badala yakuzitumia kutafuta pesa na maendeleo mengine duh!1kwa kweli familia yangu inawapa pole sana.hope my shem/to be will enjoy this love.
Mimi na mama Ngina tuna share 1. bank A/C
2. E mail psswd
3.Properties & business
But we dont share 1. Phone and its psswrds
2. Lap top and its psswrds
......ndoa yetu imedumu japo kua vikero vidogovidogo haviizidi furaha iliyomo ndani :A S 100: :A S 101:
kwa muktakabali huu ni wanaume wengi mnateseka na haya mapenzieee????maana nimeandika kitu kidogo sana wala sijafikiri nashangaa kimeonekana muhimu sana,naanza kuwaonea huruma wanaume mnatumia nguvu nyingi sana kuishi na wake zenu badala yakuzitumia kutafuta pesa na maendeleo mengine duh!1kwa kweli familia yangu inawapa pole sana.
Hahahahahahaahah! We chapamba unamdanganya mwenzio , umchape kwani kawa mwanao, au mtoto, jambo hili si kubwa sanaa, ingawa limemfadhaisha kijana juzi, wanaweza wakaongea na yakaisha,bila ya kupigana .wanawake wa kibongo hawaendi bila kichapo,mambo ya kizungu waachieni wazungu wenyewe,hapo ningekuwa mimi ni kichapo mpaka angesema ni kwa nn ananambia hivo,kuwa mwanamme huyo ni mali yako.wewe ni kichwa cha familia na wewe ni baba,huyo mkeo ni moja ya mali zako.kwa hiyo hata vitu anavomiliki ni mali yako pia,kwa hiyo kukwambia unashika shika mikoba ya wanawake ni kukutusi,MPE KICHAPO ILI SIKU NYINGINE AWE NA ADABU..
Mark my word :hakuna haki sawa kati ya mwanamke na mwanaume never and it will never be.mwanamke kwa jinsi mungu alivotuumba tupo chini ya miguu ya waume zetu.Sio kihivyo ila nilishangaa wewe kuweka maamuzi ya kiume huku wengine wakikesha kudai haki sawa. Ulichosema ndio silaha ya ndoa zetu...A man will always be, likewise a woman
wanajaribu kuiga mapenzi ya kizungu,,,hii mbaya sana
Dah!
Mimi kuanzia leo mtu akiniuliza kuhusu mahusiano, uchumba ama ndoa namtukana!!!!
Full stop.