Hahahahahahaahah! We chapamba unamdanganya mwenzio , umchape kwani kawa mwanao, au mtoto, jambo hili si kubwa sanaa, ingawa limemfadhaisha kijana juzi, wanaweza wakaongea na yakaisha,bila ya kupigana .
Ila mm nakuomba Kijana Juzi , usiwe na haraka ya kujua kwa nn amesema hayo maneno kwako ikiwa wewe ni mumewe ,a unafahamu kila kitu. Cha muhimu muite kwa utaratibu muulize alikuwa na maana gani kukwambia hivyo, baada ya kusikiliza utetezi wake, anza kufanya uchunguzi wa kimya kimya ili ufahamu kama kweli ni msafi na anaheshimu ndoa yenu.Hapo utapata ukweli uliofichika ndani ya Hiyo Laptop.