Kuna jamaa mmoja mtaani kwetu ameoa mke mzur sana cha ajabu vijana wanagonga na jamaa anajua kabisa
Siku moja kijana mmoja akafanya kama kumpa umbea ivi jamaa alipo ambiwa wala hakushtuka kijana akashikwa na mshangao
Ikabidi afanye uchunguzi,katika uchunguzi wake majibu aliyoyapata yakustaajabisha sana kumbe yule jamaa alishaachana na yule mwanamke miaka mingi tu
Wako karibu kutokana na watoto ambao bado wadogo na tatizo LA lililowafanya hadi waachane ni baada ya kwenda kupima mume alihisi mke anachepuka
Majibu yalitoka Mme yuko salama mama kawaka,jamaa akaamua kujiweka pembeni
Jamaa zangu wanne wameshapima na wamewaka kupitia uyu mama