Mwanaume kuzirazira sababu yake nini?

Mwanaume kuzirazira sababu yake nini?

Wamezoea kudekezwa na mama zao hao..sipendagi waziraji khaa..mimi nizire ..mwanaume uzire sasa nani atampetipeti mwenzake..mxiuuuuu
 
Hapo kwenye kununa nuna, haipendezi.

Na kingine Jamaa yako anaonesha ana wivu sana.

Ila kuhusu kutokuongea, inaelekea Jamaa ni Mtu wa kuuchuna.

Kuna Watu ndio wako hivyo, sio waongeaji
 
Hapo kwenye kununa nuna, haipendezi.

Na kingine Jamaa yako anaonesha ana wivu sana.

Ila kuhusu kutokuongea, inaelekea Jamaa ni Mtu wa kuuchuna.

Kuna Watu ndio wako hivyo, sio waongeaji
Kwenye wivu hapana kabisa kwanza hajakaa hata kushika simu yangu hata nikiongea na simu ye hajali yupo tu
 
Back
Top Bottom